Huu ni wizi wa mchana kweupe

Wamechoka kuwaza, wamechoka kuongoza, hii ndio CCM niliyoacha kuipigia kura tangu niliporuhusiwa kisheria, ila kwa malalamiko haya nadhani tunaanza kuelewa thamani ya kura.
 
Kuna msomi wa PhD wizarani wa uchumi. Huyu anapaswa kufanywa kama wale machief wa songea
 
hakuna haja ya mishahara kupitia benki. watu wapewe cash wakazifukie majumbani
 
Tulisema hatari ya nchi kuongozwa na kikundi cha mafisadi, wezi sasa tunauyaona
 
Mungu ni muweza, naamini atasikia kilio chetu na kuwapumzisha kwa amani wale wachache wanaofanya maisha ya wengine wengi kuwa magumu akianza na kinara wao anaetoa baraka ya haya magumu wanaopitia watu wakati mwenyewe akiishi kama kaumba yeye dunia. Amen.
 
Wamechoka kuwaza, wamechoka kuongoza, hii ndio CCM niliyoacha kuipigia kura tangu niliporuhusiwa kisheria, ila kwa malalamiko haya nadhani tunaanza kuelewa thamani ya kura.
Thamani ya kura haina maana kwa CCM kama tume ya uchaguzi inawekwa kusimamia maslahi ya CCM, Polisis wako kusimamia maslahi ya CCM na Bunge limetekwa na wana CCM.

Bila kukinukisha hamna suluhu ya haya mateso na viburi vya viongozi. Lazma damu imwagike kidogo ili heshima iweze kurejea.
 
Kulalamika mitandaoni haisaidii kitu Kwan wameisha wajua kuwa mtapiga kelele siku mbili humu baadae mtazoea.
Siku mtakapo jua nguvu ya kusimama kwa pamoja na kujitokeza physically kupinga ujinga wao ndio watakapo jua kuwasikiliza. Soon watakuja kuwambia wamepunguza makato na mtazoea

Niliwai kuleta uzi humu nikaonekana nahamasisha maandamano ukafutwa Kama vile maandamano ni kosa la jinai wakati ni haki kikatiba.
 
Kuna msomi wa PhD wizarani wa uchumi. Huyu anapaswa kufanywa kama wale machief wa songea
Mtu anayejisifia kwa PhD ya st. kayumba kwamba ni daktari wa uchumi ambaye huwezi kumtilia shaka hata kidogo, sasa angekuwa kasoma Harvard sijui ingekuwaje hayo majigamambo...
 
Mtu anayejisifia kwa PhD ya st. kayumba kwamba ni daktari wa uchumi ambaye huwezi kumtilia shaka hata kidogo, sasa angekuwa kasoma Harvard sijui ingekuwaje hayo majigamambo...
Uwezi jua labda ndio msomi wa kwanza kwenye ukoo wao kwaiyo anahisi dunia mzima yeye ni wakipekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…