Huu ni zaidi ya urembo

Huu ni zaidi ya urembo

Du yaani kama yule jamaa tuliezoea mwita meno ya chuma kwenye zile movies za james Bond.bi mdada anatisha kama zombie
 
hahahaaaa!! kwanini mkuu? kwani kuku akiangaliwa tu unaassume umeshamchinja na kumla?

si mpaka umpitishe kisu kabisa?


Mkuu Excel mi nikimuona tuu kuku nishaona upaja na kipapatio sioni kingine pale mkuu
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! we kweli experienced... silent killer!!

by the way, wa hivyo si anachanika kabisa?


Wapi kaka experienced ni wewe bana nakujua mtaalam wa mashoot wanasema yaliyolala
Hahahah huyo mpaka mifupa unatafuna
 
Watu wa matangazo wasituwekee vitu vya ovyo tutawatoka sisi,kwanza si wazuri harafu ndo wamejikatuni jamani mambo ya kuiga noma. tunapofikiria kujenga utamaduni wetu tuanzie katika uzalendo kwa ayo ambayo yanaonekana madogo, lakini yana impact kubwa kwenye jamii. hao wakija huku kwetu tunaitia mbwa.
 
Wapi kaka experienced ni wewe bana nakujua mtaalam wa mashoot wanasema yaliyolala
Hahahah huyo mpaka mifupa unatafuna

haahahahaaa1!! not true.. sio kweli bana... mi ni mwingine kabisa aisee! au umequote vibaya mkuu? hahahaaaaa!!!
 
haahahahaaa1!! not true.. sio kweli bana... mi ni mwingine kabisa aisee! au umequote vibaya mkuu? hahahaaaaa!!!


Sijaquote vibaya bana hii inamhusu mtu anaitwa Excel bana
 
Last edited by a moderator:
Mmmh hiyo miguu sasa,ina madoa utafikiri anazimishiwa sigara
 
Back
Top Bottom