Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Kwa hiyo ni kawaida?Kwani Ni wakenya hao?
Angalia tu Kama katiba imekiukwa,vinginevyo mpigie kura mtu wa ACT
Kuna wakati chadema walijazana ndugu maahemji na wazazi bunge.ni lakin hukufungua Domo lako
FRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi
Pesa hazijawahi kutosha mkuu.Kila mtu ana haki kikatiba, ila mama Kikwete na mwinyi walichofanya sio sahihi. Mama Salma Kikwete angeachia hata ukoo mwingine nao ule national cake ya ubunge huko kwao kusini maana yeye na mumewe wana asilimia 70 ya mshahara wa urais mpaka kufa kwao
Pesa hazijawahi kutosha mkuu.