Zanzibar 2020 Huu sasa ni ufalme; haiwezekani watoto na familia ya Mwinyi iteuliwe kugombea kuanzia Urais hadi Ubunge

Sio sabini ni 85
 
FRED lowassa
Salma Kikwete
Ridhiwani Kikwete
.....
.....
CCM INA WENYEWE. WENYEWE NDIO HAO. sisi kazi yetu ni kusema MITANO ZAIDI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waendelee kula mema ya nchi


Umenichekesha sana.

Mitano zaidiiiiii magufuli anatosha wakati ata hela ya kula kesho huna..

Kwelii CCM inawenyewe.
 
MUJINI tunasema umepiga MULEMULE πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½

Kwa namna Mzee mwinyi anamlamba viatu magufuri mnategemea nini? wana ccm wametufikisha hapo sababu hawajawaelewa viongozi wao, viongozi wao wanafikiria miaka mitano mitano tu.
 
Inamaana ni wenyewe tu wamekidhi vigezo?Baada ya kukidhi vigezo ndiyo inakuja ile sifa ya ziada,wewe ni ndugu wa mkubwa gani katika chama?Hilo liko wazi!
Msipate taabu mahakama ya mwisho ni sanduku la kura
 
Kama haya yanatokea, basi ni nchi inayoelekea kufa. Hapa bara:
Kuna mtoto wa Pinda
Kuna mtoto wa Lowasa
Kuna mtoto wa Kikwete
Kuna mke wa Kikwete
Kuna mke wa Malecela
Kuna mtoto wa Msuya
Kuna mtoto wa ....

Wapo wengi na wamepitishwa na anayeitwa mzalendo wa nchi hii!
 

Hili la Salma Kikwete ni dhahiri mumewe hana power nyumbani kwao juu ya maamuzi ya Huyu mama!

It is beyond belief that she could decide to go and contest a parliamentary seat instead of taking care of an ailing retired politician!! Kama ukwasi Vasco Dagama amejilimbikizia wa kutosha!
 
Kwani Ni wakenya hao?
Angalia tu Kama katiba imekiukwa,vinginevyo mpigie kura mtu wa ACT
Kuna wakati chadema walijazana ndugu maahemji na wazazi bunge.ni lakin hukufungua Domo lako
Poor brain!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…