Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ha ha ha!Mkuu hio avatar yako kidogo nivunje screen yangi..lol
Si ashakufa , CCM unawajua wewe!!!!!Kwanza nawapongeza wajumbe kwa mamuzi yenu mazuri ya kuwachinja wagombea waliokimbilia CCM ili wawaangushe wazawa wa CCM
swali langu dogo kwanini watoto wa Baba wa Taifa hakuna hata mmoja mliyempitisha?
Kwanini watoto wa mwinyo wamepewa fursa kubwa ya Urais na Ubunge?
Je, hii inaashiria nini kwa familia ya Baba wa Taifa?
Umechukua forms za kugombea ukanyimwa? Hao wamechukua forms mkuu na wakaendelea na utaratibu mpaka hapo walupofika.#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Kumbe hujui,2025 ni zamu ya muislamu so huyo mama anaandaliwa na Tiss kua mgombea na serikali ijayo atapewa cheo kikubwa ili kumjenga apate uzoefu,na hii itakua tu Kama hillar ClintonKila mtu ana haki kikatiba, ila mama Kikwete na Mwinyi walichofanya sio sahihi. Mama salma kikwete angeachia hata ukoo mwingine nao ule national cake ya ubunge huko kwao kusini, maana yeye na mumewe wana asilimia 70 ya mshahara wa urais mpaka kufa kwao.
Wanaangushwa na Maalim Seif Sharrif Hamad!#Ufalme au?
Hussein Ali Hassan Mwinyi ~ Mgombea URais Zanzibar
Abbas Ali Hassan Mwinyi-
Ubunge ~ Fuoni
Abdalla Ali Hassan Mwinyi -
Mbunge ~ Mahonda
Zubeida Shaibu (Mkewe Abbas Ali Hussein Mwinyi)
Mbunge ~ Mfenesini
Asilimia 6 ya wabunge toka Zenji wanatoka nyumba moja!!!3/50 x100=6%
Kwa hili mnatolea mfano mabeberu!!?Saana tu
Uk kulikua na David milliband na Eddie Milliband,mmoja waziri wa Mambo ya nje,mwingine kiongozi wa wabunge
Us kulikua na Jeb na George Bush,bill na Hillary Clinton ndio demokrasia ukiona unapata kiungulia usiwape kura tu utapona fasta
Kuna mtu yale aliyoyafanya 1999,naye yamemtokea.Za chini ya kapeti ni kuwa BWM hakupenda idea ya kumfanya mtoto wa mfalme Hussein Mwinyi naye awe mfalme!
Rest in peace BWM!
Unataka kusema nae kafanyiziwa?Kuna mtu yale aliyoyafanya 1999,naye yamemtokea.
Ukiua kwa upanga,nawe utakufa kwa upanga.
Alishatumika Sana Kama "first lady'..Yy Salma Ana hamu ya kuwatumikia wananchi