Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huzeekagi wewe manka😁Komaa tu mzee baba, tunaishi once
Ngoja kidogo, ila hilo la manka ni kama umenipa promotionHuzeekagi wewe manka😁
Hahaha au wewe ni mtani wa akina manka?Ngoja kidogo, ila hilo la manka ni kama umenipa promotion
Kweli mkuu, ila vitu vingine inabidi kuvipima kwenye mizaniKomaa tu mzee baba, tunaishi once
Anajitahidi sana.Dah! kuwa na wanawake wawili kwa wakati mmoja ni kazi sana . Nimeshindwa hili kabisa, wenzangu sijui mnawezaje
Ha ha ha itabidi iwe hivyoNilitaka nikuitie mtaalam/mbobezi wa kuidhibiti michepuko , ila naona alishacomment.
Muendee chemba akupe ujuzi/uzoefu.
ha ha haAnajitahidi sana.
Wewe ulisurvive vipi na Covid19? Maana wenzio wenye tabia hii kizazi Cha mwisho kimeisha na C19.. Sasa tumebaki na vitunguu maji vyetuDah! kuwa na wanawake wawili kwa wakati mmoja ni kazi sana . Nimeshindwa hili kabisa, wenzangu sijui mnawezaje
Ningependa kukazia ndugu mtoa madaPole mzee... kama sio hawa wanawake wamekuzeesha, sijui itakuwa ni nini. Dah!
Kikubwa hapa piga trip wewe...kashushe mzigo. Alafu rudi ukiwa mwepesi.
Ichukulie kama vacation flani ivi.
😃😃😃tatizo mpo wengi tunajitahidi kuwasaidia msipate mfadhaikoWewe ulisurvive vipi na Covid19?maana wenzio wenye tabia hii kizazi Cha mwisho kimeisha na C19.. Sasa tumebaki na vitunguu maji vyetu
Akijibu hili kiufasaha utanishtua brother chalii.Kwahiyo kuwa na michepuko ndio kuwa busy na mambo ya Mungu?
Ha haaa mnatuongezea mfadhaiko tu, huyu survivor wetu itabidi tumtunze maabara ili mbegu isipotee😃😃😃tatizo mpo wengi tunajitahidi kuwasaidia msipate mfadhaiko
[emoji23][emoji23]Kwahiyo kuwa na michepuko ndio kuwa busy na mambo ya Mungu?
Aisee tuko tofauti sana, mimi walio kwenye list ya karibu tu ni 6 ambao ni uhakika kabisa...Dah! kuwa na wanawake wawili kwa wakati mmoja ni kazi sana . Nimeshindwa hili kabisa, wenzangu sijui mnawezaje
Nahisi huyu nilie nae anakila kitu mkuu 😀😀😀Aisee tuko tofauti sana, mimi walio kwenye list ya karibu tu ni 6 ambao ni uhakika kabisa...
Au ntakuwa na matatizo !!!!
Unakuwaje na demu mmoja mzee???
Mapenzi sio for sex, mwenza ni life partner ( ni zaidi ya sex hayo ni maisha kamili a usaidizi kati ya me na ke katika kukamilisha ndoto na maono kwa pamoja baina ya watu wawili ). Kama ni life partner daima wanakuwa full package, sasa huko nje unaenda kutafuta nini ? Ingawa haya ni maisha ambayo yana machaguziWewe ulisurvive vipi na Covid19? Maana wenzio wenye tabia hii kizazi Cha mwisho kimeisha na C19.. Sasa tumebaki na vitunguu maji vyetu
😀😀😀 Hata mie naona, maana huo ni mtihani sana unao takiwa uwe umejitoa ufahamu kuwa na watu wawili kwa wakati mmoja, maana lazima uwe muongi muongi, na wengine hatujajaliwa uongo aiseeAnajitahidi sana.