Jamaa yangu anatafuta mke wa kuoa.
umri uwe miaka 27 na kuendelea ila isizidi 33 maana yeye ana miaka 31 sasa.
Awe mkristo(madhehebu ya kipentecoste yatapewa kipaumbele)
Awe na elimu isiyozidi diploma.
wakala huyu........................kama real Madrid wanavyomtumia wakala kumnunu Gareth BaleKwa nini kakutuma wewe umtafutie........?