Huu si utani!

Huu si utani!

Kijallo

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
409
Reaction score
61
Jamaa yangu anatafuta mke wa kuoa.
umri uwe miaka 27 na kuendelea ila isizidi 33 maana yeye ana miaka 31 sasa.
Awe mkristo(madhehebu ya kipentecoste yatapewa kipaumbele)
Awe na elimu isiyozidi diploma.
 
Kwa nini kakutuma wewe umtafutie........?
 
eti elimu isizidi Dip.
dah!! kuna wanaume hawajiamini sana hapa duniani.
 
Jamaa yangu anatafuta mke wa kuoa.
umri uwe miaka 27 na kuendelea ila isizidi 33 maana yeye ana miaka 31 sasa.
Awe mkristo(madhehebu ya kipentecoste yatapewa kipaumbele)
Awe na elimu isiyozidi diploma.

Halafu unaposema jamaa yako unamaanisha nini???!!!!

Ni kama sasa hivi anaku kaaa zaaaa wewe lakini anatafuta mke au??!!!maaana wengine akili zetu pendulum zina swing hebu fafanua
 
Nadhani huyu ni saizi yangu mimi wa darasa la seven. Nimesubiri muda mrefu na kila aliyepatikana alitaka wasomi wa kuanzia digrii moja. Bahati iliyoje hii!! Mwambie ndugu yako akitaka tufunge ndoa hata leo niko tayari kabisaa.
 
Back
Top Bottom