Exactly!!!Kumbuka hao watu milioni moja watakuwa wanapambana na vyombo vya dola vilivyoagizwa kufanya lolote, ili ccm watangazwe washindi. Sijui kama unalielewa hili. Hivi unajua fomu ya matokeo kila kituo itatolewa moja tu kwa mawakala iwapo tume itaona hivyo? Vyombo vya dola vitahusishwa moja kwa moja kwenye hii hujuma. Ninaposema silaha za Jadi nielewe nini ninasema, na wapinzani wawaambie kabisa wapiga kura wao kuwa hata polisi wasiaminike kwenye uchaguzi huu.
Nimekusoma vyema mkuu 'Tindo'.
Kama hali ndivyo kama ulivyoielezea hapa, hao wapinzani wanakwenda kushiriki uchaguzi kwa mategemeo yapi?
Kusema kweli sio hilo tu, kuna mambo kadhaa ya namna hiyo ambayo wapinzani wameyaacha au wameyapuuzia bila maelezo yoyote, huku ikiwaacha watu wakidhani kwamba pengine wanayo 'plan B' wanayoificha itakayosawazisha sintofahamu nyingi hivi.
Kama hawana plan nyingine yoyote watakuwa ni watu wapuuzi kupindukia.
Hapana.Mkuu ninapokuambia kushiriki uchaguzi kwa tume hii ni upunguani, lakini naona huwa hunielewi.
Nilikuwa sijakusoma hadi huku chini.Mantiki nipigie kura, bali nataka aje kwenye kampeni na kuamsha public awareness itakayopandisha hamasa, ila siku ya uchaguzi watu wahamasishwe kutokwenda, ili kushusha idadi ya wapiga kura. Idadi hiyo ndogo itapelekea mabadiliko makubwa sana kwenye nchi yetu. Nguvu ya umma sio lazima machafuko,
Nilikuwa sijakusoma hadi huku chini.
LOoo, acha tu kwa sasa nibaki nikishangaa haya uliyoyaandika hapa!
Ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri majibu kwenye tv ama redio n.k.Hapo ccm ndo watajuwa kuwa wananchi wameamua kutiana moyo au wanamwaga au wanapiga bao.
Ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri majibu kwenye tv ama redio n.k.
Ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri majibu kwenye tv ama redio n.k.
Tume ni huru na mawakala wa vyama vyote watakuwepo kuhakiki kura za kila mgombea.baada ya kupiga kura rudi nyumbani.Ingekuwa kuna tume huru hapo sawa, sio tume hii inayoagizwa na rais imtangaze nani mshindi. Uzuri wapiga kura wengi wanaojitambua, hawatajitokeza kushiriki hayo maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi.
Wakitangaza tofauti wananchi waingie mtaani!?, unawaanda wapumbavu wapinge matokeo halali ya uchaguzi.Hakuna lolote la kuhofu ndugu. Ata tume waweke masharti ya namna gani kinachotakiwa kusisitizwa mwaka huu ni kuwa wananchi walinde kura na mawakala na wananchi wasimamie kidete, kura zilivyohesabiwa na ndo na matokeo yatangazwe hivyohivyo kuanzia udiwani, ubunge hadi upraising. Mawakala watoe matokeo vituoni hapo hapo ya ngazi zote na records zitunzwe sawa. Tume ikitangaza tofauti wananchi waingie mtaani
Kama wakitangaza tofauti na uhalisia ndiyo ni sahihi wananchi waingie mtaaniWakitangaza tofauti wananchi waingie mtaani!!?,unawaanda wapumbavu wapinge matokeo halali ya uchaguzi.
Tume ni huru na mawakala wa vyama vyote watakuwepo kuhakiki kura za kila mgombea.baada ya kupiga kura rudi nyumbani.
Unatunga uongo ili kuhalalisha mawazo yako,sawa bwashee mjukusanye kulinda kura.Niliona kwa macho yangu kwenye chaguzi za marudio, mawakala wa upinzani wakipigwa kama wezi na polisi ili wajaze fomu fake ya matokeo. Siwashauri wananchi kujitokeza kupiga kura chini ya tume hii, maana ni kuhalalisha uhayawani. Ni vyema wananchi kutokea kwa idadi ndogo sana ili kuharamisha huo ushenzi.
sawa bwana mkubwa.wananchi wa Tanzania kupitia jf washakusikia.Kama wakitangaza tofauti na uhalisia ndiyo ni sahihi wananchi waingie mtaani