Muda huu anga imetanda wingu kubwa la moshi mzito mweusi ukitokea maeneo ya Vingunguti au jirani na huko. Walioko jirani na eneo la tukio watujulishe nini kinaendelea huko, je ni salama kwa afya za watu wengine?
Je NEMC wana taarifa na tukio hilo ni ajali au limepangwa ndani ya utaratibu wao.