Huu siyo uchafuzi wa mazingira Dar?

Huu siyo uchafuzi wa mazingira Dar?

Matango

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
535
Reaction score
118
Muda huu anga imetanda wingu kubwa la moshi mzito mweusi ukitokea maeneo ya Vingunguti au jirani na huko. Walioko jirani na eneo la tukio watujulishe nini kinaendelea huko, je ni salama kwa afya za watu wengine?
Je NEMC wana taarifa na tukio hilo ni ajali au limepangwa ndani ya utaratibu wao.
 
Hii NEMC ya sasa wana deal na kelele za shangwe, huo uchafuzi wa hewa angani hauwahusu, labda mamlaka ya hewa na mamlaka ya anga wakashughulikie
 
Muda huu anga imetanda wingu kubwa la moshi mzito mweusi ukitokea maeneo ya Vingunguti au jirani na huko. Walioko jirani na eneo la tukio watujulishe nini kinaendelea huko, je ni salama kwa afya za watu wengine?
Je NEMC wana taarifa na tukio hilo ni ajali au limepangwa ndani ya utaratibu wao.
Hapata kapicha Mkuu
 
Back
Top Bottom