Ndio Raha ya jf
hii gombania goli
hata sielewi kwanini nipo single hadi mida hii...
huku nakoelekea ni kwenye album sasa....
mitaa gani kuna ma single boy,nianze kutoka toka nje labda wataniona....
ni cinemas au restaurants???
ni beach au kwenye events???
fancy places au maofisini???
uwanjani au clubs???
supermarkets au vituoni??
misikitini au kanisani???
Ni pm fasterhata sielewi kwanini nipo single hadi mida hii...
huku nakoelekea ni kwenye album sasa....
mitaa gani kuna ma single boy,nianze kutoka toka nje labda wataniona....
ni cinemas au restaurants???
ni beach au kwenye events???
fancy places au maofisini???
uwanjani au clubs???
supermarkets au vituoni??
misikitini au kanisani???
hata sielewi kwanini nipo single hadi mida hii...
huku nakoelekea ni kwenye album sasa....
mitaa gani kuna ma single boy,nianze kutoka toka nje labda wataniona....
ni cinemas au restaurants???
ni beach au kwenye events???
fancy places au maofisini???
uwanjani au clubs???
supermarkets au vituoni??
misikitini au kanisani???
Nipe collabo kwenye hiyo album yako
Msiyejitambua ni watu kama nyie ambao mnadhani jamiiForums ni sehemu ya kupatia mademuuzuri wa huyu dada, anapenda watoto kama wewe msiyejitambua.
Na wewe usingekuwa na Mtazamo kama wa huyo mwenzako asiyejitambua kama wewe ungeomba colabo???Msiyejitambua ni watu kama nyie ambao mnadhani jamiiForums ni sehemu ya kupatia mademu
Wenye fursa zenu zinakuja zenyeweUsimsahau Daby kwenye fursa kama hizi huyo babu hana meno tena.
Wewe endelea kugonga single paka uingie katika chati za billboard na ushike ushike nafasi za juu kabisa,maana idadi ya wanaume ni ndogo kuliko Wana wake,na katika hyo idadi ndogo ya wanaume,Kuna mashoga ndani yake,Kuna machizi,Kuna wagonjwa,Kuna wale ambao unasemaga hamuendani kwa sababu hizi na zile kama mateja,vibaka,kiuchumi n.k........hata sielewi kwanini nipo single hadi mida hii...