Huu u single vepee, mbona umeniganda?

Wewe ndio umefanya WHO watoe ile ripoti yao ya singles ni disability
 
Wakina Dada bado me nawakumbusha tu kuwa
Idadi ya watu duniani =7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaumme =2.2 billion
Kati ya wanaumme 2.2 billion
1 billion= wameshaoa tayari
Million 200 =wapo jela na wenginemachizi
wanabaki billion 1
Kati ya hao billion 1
Million 500 = hawana kazi
wanabaki million 500
Kati y hao
5% = mashoga
3% = walokole
10% = jamaa zako
40% = Watoto.
30% = Vijana.
15% = Waliobaki wana umri zaidi ya miaka 66
Sasa ninyi endeleeni kukataa wanaumme
 
Toa repoti inbox wameshakuja wangapi!?!!
 

Nimeipenda hii kitu kama ni kweli lkni
 
Ahaa sasa hamjion mlivyo weng hvyo sasa mtaishije?

[emoji23][emoji23]si unafahamu kuwa huwezi kuwa na mtu kwenye mahusiano kwa kumuonea huruma eeee..ehee.

Ni kweli tupo wengi na nyie mpo wachache hilo liko wazi,lkni ni lazima apatikane kati ya hao wachache mmojawapo akaniweka ndan kihalali.naamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…