Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umemkana kwa herufi kubwaMentor huyu binti simjui.[emoji124] [emoji124]
Huyo simjui mimi.....Mbona umemkana kwa herufi kubwa
Mi mgeni hata balozi hajanitambua badoHuyo simjui mimi.....
Labda kama unamjua unikumbushe
Balozi yupi mkuuMi mgeni hata balozi hajanitambua bado
Mkuu balozi wa huu mtaa wa ulie mkana humjuiBalozi yupi mkuu
Na wewe usingekuwa na Mtazamo kama wa huyo mwenzako asiyejitambua kama wewe ungeomba colabo???
Mwendelezo wautani tuhivi na wewe unaamini ni kweli...it is just a joke..take it easy miss
Mwendelezo wautani tu
fungulia mbwahii gombania goli
Wakina Dada bado me nawakumbusha tu kuwa
Idadi ya watu duniani =7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaumme =2.2 billion
Kati ya wanaumme 2.2 billion
1 billion= wameshaoa tayari
Million 200 =wapo jela na wenginemachizi
wanabaki billion 1
Kati ya hao billion 1
Million 500 = hawana kazi
wanabaki million 500
Kati y hao
5% = mashoga
3% = walokole
10% = jamaa zako
40% = Watoto.
30% = Vijana.
15% = Waliobaki wana umri zaidi ya miaka 66
Sasa ninyi endeleeni kukataa wanaumme
Fanya bas nikusaidie from thatNimeipenda hii kitu kama ni kweli lkni
Fanya bas nikusaidie from that
Ahaa sasa hamjion mlivyo weng hvyo sasa mtaishije?[emoji15]upo!!!hapana aise sitaki msaada
Ahaa sasa hamjion mlivyo weng hvyo sasa mtaishije?