Unaonekana unakauzoefu mkuu
Well said mkuu ila inabidi utafute njia nayeye alie juu atakuonesha mambo makubwa ambayo hujawahi yaonamuombe MUNGU atakuletea
kuwa na subra
Sio mbaya umeshusha mzigo ulioelemea moyo naimani utapata tuhata sielewi kwanini nipo single hadi mida hii...
huku nakoelekea ni kwenye album sasa....
mitaa gani kuna ma single boy,nianze kutoka toka nje labda wataniona....
ni cinemas au restaurants???
ni beach au kwenye events???
fancy places au maofisini???
uwanjani au clubs???
supermarkets au vituoni??
misikitini au kanisani???
yeahWell said mkuu ila inabidi utafute njia nayeye alie juu atakuonesha mambo makubwa ambayo hujawahi yaona
Msaidie mwenzio bhana apate wa ubaniyeah
nikweli
atakua kashapataMsaidie mwenzio bhana apate wa ubani
Avatar hiyo itakuwa inaleta shida sana...nakuombea sanaatakua kashapata
unaniombea nn?Avatar hiyo itakuwa inaleta shida sana...nakuombea sana
pm ikorofishe uishi salamaunaniombea nn?
Nitapitia niangalie lakini kama bado inafanya kaziahaha sawa mkuu
ntafanya ivo
hapana usipiteNitapitia niangalie lakini kama bado inafanya kazi
hahaha chuganian sawa bhnahapana usipite