Wewe endelea kugonga single paka uingie katika chati za billboard na ushike ushike nafasi za juu kabisa,maana idadi ya wanaume ni ndogo kuliko Wana wake,na katika hyo idadi ndogo ya wanaume,Kuna mashoga ndani yake,Kuna machizi,Kuna wagonjwa,Kuna wale ambao unasemaga hamuendani kwa sababu hizi na zile kama mateja,vibaka,kiuchumi n.k........
Kwa hiyo wewe endelea tu kugonga hits kali gonga album,Aina ya wanaume ambao sija wataja wengi wapo kwenye ndoa ama mahusiano ya uchumba na wengine ni maplayboy na wachache sana wapo single,Sasa kama una roho ya kijasiri jaribu kuangalia katika kundi hili uweze kuwa ka mchepuko,na ukitaka wako peke yako chonga mgomba ama sanamu uweke ndani...