Huu u single vepee, mbona umeniganda?

Huu u single vepee, mbona umeniganda?

Kujaaa hapa Hakuna kwenda pahala
Wewe lin nmemuweka ndan kimagumashi she deserve more than than u knw le mbebez asemavyo bwana Yule

Kwahiyo hizi ndio anadeserve uh!!!

Ha ha ha ila Kwan tatzo liko wap dada wewe maana sielew heaven kuwekwa ndan


Ha ha ha ha bring back your family umeimiss sana ila sasa hutak kuonekana kama u need them we are your children take easy on us
Heaven Sent mwambie bi mkubwa atulize munkari
Habari za kushinda
Heaven Sent is and will always be my dota, sina tatizo nae kabisaaaa.

So una tatzo na mm right?
 
Checking...100%
Searching...
Downloading...

Network connecting...
Near by Uporoto Mbeya.
 
fd1e3325002a26aba00be72e24023a75.jpg
 
Endelea kuacha mipaja nje, endelea kubadili wanaume, endelea kuvaa suruali na nguo zilizokubana, endelea kuvaa suriali iliyochanwachanwa, weka maziwa yako yakae nje mnaita boobs, legeza mimacho kikahaba, usifanye kazi ombaomba vocha ukiwa na apppintment omba nauli, kunywa pombe, ukifika kwa boyfriend kuwa huru tukana matus, usijiheshimu, ukiwa kwa boyfriens usimsaidie kazi yoyote wewe chat tu, wala usiulize anything kuhusu future mwambie tu habari za saloon, nguo, na kwenda club. Yaani yeyote anayekutaka mkubalie omba hela yaani wachune tu. Tabia zako za ku shout shout usiache, piga picha zako imegeuza makalio nyuma na vinguo vyako vya aibu weka mtandaoni muda wote, usikosekane fb, insta, na facebook yaani wewe ishi kwa kujiachia. Jidai una kampani A marafiki wasiyokuwa na nyuma wala mbele, wake kwa waume, kuwa nao tu lala hata kwao, penda kusafirisafiri na kuzurura nyumba za watu, kila rafiki mwamini tu hata akikupeleka motoni wewe mwamini. Na mwisho usiacha kutafuta mwanaume wa kukuoa huku mtandaoni maana utafanikiwa haraka, anza na mimi. Nakihakikishia ukifuata hayo yote either utazeeka ukiwa kwenu au you are going to be a beautiful single mather with 3 kids na kila mmoja na baba yake maana utakuwa njia nzuri ya kupita.
 
Wewe endelea kugonga single paka uingie katika chati za billboard na ushike ushike nafasi za juu kabisa,maana idadi ya wanaume ni ndogo kuliko Wana wake,na katika hyo idadi ndogo ya wanaume,Kuna mashoga ndani yake,Kuna machizi,Kuna wagonjwa,Kuna wale ambao unasemaga hamuendani kwa sababu hizi na zile kama mateja,vibaka,kiuchumi n.k........

Kwa hiyo wewe endelea tu kugonga hits kali gonga album,Aina ya wanaume ambao sija wataja wengi wapo kwenye ndoa ama mahusiano ya uchumba na wengine ni maplayboy na wachache sana wapo single,Sasa kama una roho ya kijasiri jaribu kuangalia katika kundi hili uweze kuwa ka mchepuko,na ukitaka wako peke yako chonga mgomba ama sanamu uweke ndani...
Nimeipenda sana hii. Mkuu umechambua vzr kuonyesha vile idadi ya wanaume ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya wadadaa....!
 
Back
Top Bottom