Huu Ubunifu wa Roma Mkatoliki kila aingiapo Stejini hautakuwa na madhara baadae?

Acha wenge, mbona choki aliingia na farasi na kijiko kwenye baadhi ya matamasha yake?
 
Nimemfuatilia katika Shows zake karibia zote za Tigo Fiesta na kugundua kwamba mara nyingi huingia Ukumbini au pale Stejini akiwa na mienokano ya aina hii:
  1. Kabebwa katika Wheelchair
  2. Kakunja mkono kama amewekewa hogo
  3. Kafunga bandeji Kichwani
  4. Anachechemea kama Mtu aliyeumizwa
  5. Mikono yake imefungwa nyuma
  6. Kashika mnyororo mkubwa
  7. Kashika Fimbo
Je hii haitokuja kuwa na madhara makubwa labda Kwake kwa siku za baadae? Na je kwa kufanya hivi anajaribu kutuma Ujumbe gani katika Jamii na kwa wale waliomteka na kumtesa hadi kumtupa Ununio mkabala na Mahaba beach? Je kama kweli Roma Mkatoliki anajambo linamtatiza moyoni na anataka kuwaambia / kuwahabarisha Watanzania na Wapenzi wake kwa ujumla basi kwanini asiitishe tu Press Conference ili atiririke na aserereke vizuri kuliko kila siku kufumbafumba kupitia Jukwaa la Tigo Fiesta?

Ushauri

Kwa aliye karibu na Roma Mkatoliki ajaribu kumsaidia Kisaikolojia kwani naona bado hayuko vizuri na kwamba pengine Yeye anaweza kudhani amemaliza Kazi ila yawezekana kabisa wabaya wake wanamtathmini na labda wanaweza wakija mara ya pili asitupwe tena Ununio na badala yake tukamuokota pembezoni mwa Fukwe zetu akiwa ndani ya Sandarusi na Jiwe juu. Afanye tu Mziki na aache masuala ya harakati kwani nina uhakika hayawezi na yatamgharimu na kuja Kujuta.

Ni Msanii mzuri sana hata Mimi namkubali na nampenda ila nahisi kama vile ama anatumika bila Yeye kujua au ana agenda fulani ambayo labda anahisi itafanakiwa japo Mimi kila nikipima kwa macho yangu ya kuona mbali zaidi naona ni kama tu anapaka rangi upepo.

Yangu ni hayo tu Wadau.

Nawasilisha.

We ni Mwalimu mzuri wa Somo la uoga,
 
Wewe ushawahi jiuliza kama thread za kijinga unazoziandika humu baadae haziwezi kukuathiri afya ya akili yako???
 
Mungu aliyemuokoa Lissu kutoka kwenye risasi 38,ndiye Mungu atakayewaokoa na kuwapa maisha watu wote wanaosema na kusimamia ukweli ktk awamu hii.
Roma namjua vizuri,na ni kweli ana cha kuwaambia watanzania na hasa baada ya Polisi kutoshughulikia kesi yake ilivyotakiwa.So acha awafumbe wengi waelewe wachache,hao wachache watawaelewesha wengi lkn ukweli ndio huo!!!
 
Roma ana kiherehere sana ni bora anyanyuke na aseme kilichompata....kuliko kujificha nyuma ya maigizo....hata mwenzie waliotekwa nae aliwai kusema kuwa msanii mwenzie ni mnafiki......na wanafiki hutumia mafumbo sana....
Roma anatumikia chadema na muziki....
Msenge wewe ndiye uliyemtemka ndio maana unahangaika
 
Kwahiyo mnamtishia?
Mnataka afanye mpendavyo ninyi?
Kazi ya sanaa mnaijua vizuri?
Mmewahi kufuata kwenda kumshauri?
Hamuoni kuwa mnatafuta kiki za kinafiki?
Mnataka kuhalalisha (kama kuna jambo litamtokea) mseme tulitabiri?
Roma ana kiherehere sana ni bora anyanyuke na aseme kilichompata....kuliko kujificha nyuma ya maigizo....hata mwenzie waliotekwa nae aliwai kusema kuwa msanii mwenzie ni mnafiki......na wanafiki hutumia mafumbo sana....
Roma anatumikia chadema na muziki....

Nimemfuatilia katika Shows zake karibia zote za Tigo Fiesta na kugundua kwamba mara nyingi huingia Ukumbini au pale Stejini akiwa na mienokano ya aina hii:
  1. Kabebwa katika Wheelchair
  2. Kakunja mkono kama amewekewa hogo
  3. Kafunga bandeji Kichwani
  4. Anachechemea kama Mtu aliyeumizwa
  5. Mikono yake imefungwa nyuma
  6. Kashika mnyororo mkubwa
  7. Kashika Fimbo
Je hii haitokuja kuwa na madhara makubwa labda Kwake kwa siku za baadae? Na je kwa kufanya hivi anajaribu kutuma Ujumbe gani katika Jamii na kwa wale waliomteka na kumtesa hadi kumtupa Ununio mkabala na Mahaba beach? Je kama kweli Roma Mkatoliki anajambo linamtatiza moyoni na anataka kuwaambia / kuwahabarisha Watanzania na Wapenzi wake kwa ujumla basi kwanini asiitishe tu Press Conference ili atiririke na aserereke vizuri kuliko kila siku kufumbafumba kupitia Jukwaa la Tigo Fiesta?

Ushauri

Kwa aliye karibu na Roma Mkatoliki ajaribu kumsaidia Kisaikolojia kwani naona bado hayuko vizuri na kwamba pengine Yeye anaweza kudhani amemaliza Kazi ila yawezekana kabisa wabaya wake wanamtathmini na labda wanaweza wakija mara ya pili asitupwe tena Ununio na badala yake tukamuokota pembezoni mwa Fukwe zetu akiwa ndani ya Sandarusi na Jiwe juu. Afanye tu Mziki na aache masuala ya harakati kwani nina uhakika hayawezi na yatamgharimu na kuja Kujuta.

Ni Msanii mzuri sana hata Mimi namkubali na nampenda ila nahisi kama vile ama anatumika bila Yeye kujua au ana agenda fulani ambayo labda anahisi itafanakiwa japo Mimi kila nikipima kwa macho yangu ya kuona mbali zaidi naona ni kama tu anapaka rangi upepo.

Yangu ni hayo tu Wadau.

Nawasilisha.
 
Wewe ushawahi jiuliza kama thread za kijinga unazoziandika humu baadae haziwezi kukuathiri afya ya akili yako???

Jibu lako sahihi lipo katika hii Signature yangu ' Purely Talented and Charismatic Fella '. Halafu jiulize ni kwanini hata nikianzisha thread ya Kijinga au Kipumbavu vipi bado itapokelewa na kuchangamkiwa na Members tofauti na Watu wengine ambao hata wakianzisha threads serious vipi huwa hazipati mashiko makubwa na zinasishia tu Kufa Kibudu. Nyota yangu si ya dunia hii na mvuto wangu umeanzia Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu na najua mpo Wapumbavu baadhi yenu hii ID yangu na huku kukubalika Kwangu kila siku na Members kunawauma na kuwatesa mno ila nawaambieni tu nilichobarikiwa Mimi GENTAMYCINE na Mwenyezi Mungu wala hamuwezi kukipata au kukiondoa Kwangu na ndiyo maana mmejibiwa vizuri sana na Signature yangu ya ' Purely Talented and Charismatic Fella '. Na muda mfupi tu ujao naanzisha thread mpya sasa nakuomba tegea mimacho yako hiyo uone jinsi itakavyopokelewa vyema na kuchangamkiwa na Members. Njoo nikupe Nyota yangu ili angalau nawe ukubalike, uwe maarufu na ufuatiliwe na Watu wengi badala ya kuonyesha Chuki zako Kwangu na yawezekana ndiyo maana Mungu hakukubariki kama alivyombariki GENTAMYCINE kwakuwa alijua una roho mbaya, mpenda majungu na una wivu wa Kijinga, Kipumbavu na Kimasikini pia.
 
Hapana kaniambia ' Maza ' wako baada kuagana nae kutoka ' Maghettoni ' Kwangu muda si mrefu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] gentamycine umechafukwa sasa
Bahati mbaya mother angu alishatangulia mbele ya haki.

Lukwafya
 
Siku zingine uwe na adabu kwani Mimi huwa namjibu Mtu vile anavyokuja. Ulijipendekeza na nimekupa tayari ' dozi ' yako na nadhani kidogo sasa akili itakukaa sawa. Nina ustaarabu sana na heshima pia ila nikihisi kuchokozwa na Mtu fulani anawashawashwa na Mimi huwa simkawizi kama ambavyo sijakukawiza na Wewe. Napenda sana Utani tena nafurahi mno Kutaniwa na kupigwa madongo ila huwa nina Kipimo changu cha kujua kuwa hili ni dongo au ni chokochoko dhidi yangu hivyo nikigundua ni ' chokochoko ' tegemea ' dozi ' yangu ambayo huwa siipimi bali naileta Kwako hivyo hivyo na najua itakuuma tu ila at the ende tutaenda sawa na kuheshimiana.
 
Jibu lako sahihi lipo katika hii Signature yangu ' Purely Talented and Charismatic Fella '. Halafu jiulize ni kwanini hata nikianzisha thread ya Kijinga au Kipumbavu vipi bado itapokelewa na kuchangamkiwa na Members tofauti na Watu wengine ambao hata wakianzisha threads serious vipi huwa hazipati mashiko makubwa na zinasishia tu Kufa Kibudu. Nyota yangu si ya dunia hii na mvuto wangu umeanzia Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu na najua mpo Wapumbavu baadhi yenu hii ID yangu na huku kukubalika Kwangu kila siku na Members kunawauma na kuwatesa mno ila nawaambieni tu nilichobarikiwa Mimi GENTAMYCINE na Mwenyezi Mungu wala hamuwezi kukipata au kukiondoa Kwangu na ndiyo maana mmejibiwa vizuri sana na Signature yangu ya ' Purely Talented and Charismatic Fella '. Na muda mfupi tu ujao naanzisha thread mpya sasa nakuomba tegea mimacho yako hiyo uone jinsi itakavyopokelewa vyema na kuchangamkiwa na Members. Njoo nikupe Nyota yangu ili angalau nawe ukubalike, uwe maarufu na ufuatiliwe na Watu wengi badala ya kuonyesha Chuki zako Kwangu na yawezekana ndiyo maana Mungu hakukubariki kama alivyombariki GENTAMYCINE kwakuwa alijua una roho mbaya, mpenda majungu na una wivu wa Kijinga, Kipumbavu na Kimasikini pia.
Jinga kweli wewe,nani akuonee wivu kwa huu upumbavu wako wa kila cku
 
Upumbavu mwingi unapatikana sana katika Koo zako zote mbili ila hasa hasa yule aliyekuhifadhi katika ' mkebe ' wake wa Uzazi kwa takribani miezi Kenda kisha akakucheua kama siyo kukutapika Kibaiolojia ' Leba '.
 
Siku zingine uwe na adabu kwani Mimi huwa namjibu Mtu vile anavyokuja. Ulijipendekeza na nimekupa tayari ' dozi ' yako na nadhani kidogo sasa akili itakukaa sawa. Nina ustaarabu sana na heshima pia ila nikihisi kuchokozwa na Mtu fulani anawashawashwa na Mimi huwa simkawizi kama ambavyo sijakukawiza na Wewe. Napenda sana Utani tena nafurahi mno Kutaniwa na kupigwa madongo ila huwa nina Kipimo changu cha kujua kuwa hili ni dongo au ni chokochoko dhidi yangu hivyo nikigundua ni ' chokochoko ' tegemea ' dozi ' yangu ambayo huwa siipimi bali naileta Kwako hivyo hivyo na najua itakuuma tu ila at the ende tutaenda sawa na kuheshimiana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sawa gentamycine

Lukwafya
 
Aende Hollywood wamsaidie kutengeneza movie, that would be perfect na message yake itaifikia dunia nzima
 
Back
Top Bottom