Huu uchawi mbona hautupi maendeleo?

Buyaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
1,705
Reaction score
1,953
Jamaa alipomfumania mtu anaiba mkewe akakimbia kwa mganga, mganga by remote powers akawagandisha permanently kwenye ngono, jamaa akarudi akasema ili kuwabandua Mchawi anaitisha (anadai, Kiswahili cha huko Kenya hicho) Mchawi anaitisha KSH 20,000 zitoke maana ndio anazodaiwa kwa mchawi.

My Take: Kinachonishangaza kwenye hii Video ni kwamba polisi badala ya kuita obstetrician and gynecologist eti na wao wako katika negotiations za kupunguza bei na kutafuta 20,000/= za mchawi!

Kama uchawi upo kweli kwa nini huyo mganga wa mapenzi tusimpe research facilities aka develop HIV vaccine?


[video=facebook;285093861543127]https://www.facebook.com/photo.php?v=285093861543127[/video]
 
Sio lazioma awe kaspecialize kwenye HIV, hata uchawi una area of specialization.
 
Duuh wenzetu wanavumbua rocket science sisi bado tuko huko...yaleti...tungekuwa mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…