Huu udini utaligharimu hili taifa siku Moja. Shekh PONDA Anapaswa kubadilika huku tuendako si salama

Huu udini utaligharimu hili taifa siku Moja. Shekh PONDA Anapaswa kubadilika huku tuendako si salama

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Mheshimiwa DPP “watumwa” wa serikali yako wanakufa gerezani. Salum Khamisi kafa usiku na wengine wamedhoofika sana. Hawa ni mamia ya Waislam unaowashikilia Dar Tanga Moro Arusha Shga MZA Mtwara kwa zaidi ya miaka 9 ukidai unatafuta ushahidi. Muogopeni Mungu watendeeni watu haki.

Screenshot_20220611-142505.jpg

Wanaofungwa huku gerezani ni waislam tu?.
Viongozi wa dini wa namna hii ni hatari Kwa taifa.
 
Huyo ni kiongozi wa Dini, kasema kulingana na Dini yake.

Maaskofu nao wawasemee Wakristo waliooko huko gerezani
 
Binafsi sijaona tatizo yeye kawasemea wale ambao anawajua na anaushahidi nao kuwa wanakufa gerezani

Wewe ungefurah ndugu yako akae gerezan miaka 9 bila ushahid kupatikana?

Miaka 9 n kifungo Cha mtu kabisa Tena kosa kubwa

Fikiria fisad aliyeisababishia nch hasara ya mabilioni anahukumiwa ndan ya mwaka kwa faini ya hela ya mbuzi dume au ndama
 
Mheshimiwa DPP “watumwa” wa serikali yako wanakufa gerezani. Salum Khamisi kafa usiku na wengine wamedhoofika sana. Hawa ni mamia ya Waislam unaowashikilia Dar Tanga Moro Arusha Shga MZA Mtwara kwa zaidi ya miaka 9 ukidai unatafuta ushahidi. Muogopeni Mungu watendeeni watu haki.

View attachment 2257293

Wanaofungwa huku gerezani ni waislam tu?.
Viongozi wa dini wa namna hii ni hatari Kwa taifa.
Dam...
Ndugu yangu usiwe na haraka ya kuandika.

Historia ya hawa wafungwa ni ya kipekee wako rumande kwa miaka tisa wakituhumiwa kuwa ni magaidi.

Kwa miaka tisa ushahidi haujapatikana.

Wanakufa gerezani mmoja baada ya mwingine.

Kwa miaka tisa hakuna ushahidi.

Wa kuonywa si Sheikh Ponda bali hao wanaodhulumu haki za watu.
 
Mheshimiwa DPP “watumwa” wa serikali yako wanakufa gerezani. Salum Khamisi kafa usiku na wengine wamedhoofika sana. Hawa ni mamia ya Waislam unaowashikilia Dar Tanga Moro Arusha Shga MZA Mtwara kwa zaidi ya miaka 9 ukidai unatafuta ushahidi. Muogopeni Mungu watendeeni watu haki.

View attachment 2257293

Wanaofungwa huku gerezani ni waislam tu?.
Viongozi wa dini wa namna hii ni hatari Kwa taifa.
Mimi sio muislam sioni tatizo la post hiyo.
Haina udini wowote
 
Mtoa hoja hii pamoja na kuileta kwa uchungu ambayo ni haki yako kabisa,ngoja tuangalie upande wa pili wa coin, President na PM wote hawa ni waislaaam na wacha Mungu, ninachokiona mimi ni taasisi hafifu na vibogoyo tulizokua nazo kama nchi, sheria nyingi ni kandamizi mno, kisheria huwezi kumweka suspect 9yrs jela maana huyu ni mfungwa tayari, nipo na familia za suspects hawa na sijui Zina cope vipi, ewe Mwenyezi Mungu tusaidie kama Taifa ili upendo, Amani, heshima na utu vitawale nchi yetu, salute kwa mwenye mada
 
Hayo maneno amwambie Raisi Samia na siyo DPP, Samia akiamua watatoka hata sasa hivi, kama Mbowe alivyotolewa, hivyo kama lawama “kuwaonea Waislamu“ apewe Mwislamu mwenzao!
 
Huyo ni kiongozi wa Dini, kasema kulingana na Dini yake.

Maaskofu nao wawasemee Wakristo waliooko huko gerezani
Na ndo unapokosea..!! Alitakiwa aseme watanzania wanakufa gerezani..Sijui kuingiza dini kwenye hili anaongeza sifa ipi
 
Back
Top Bottom