Dam...Mheshimiwa DPP “watumwa” wa serikali yako wanakufa gerezani. Salum Khamisi kafa usiku na wengine wamedhoofika sana. Hawa ni mamia ya Waislam unaowashikilia Dar Tanga Moro Arusha Shga MZA Mtwara kwa zaidi ya miaka 9 ukidai unatafuta ushahidi. Muogopeni Mungu watendeeni watu haki.
View attachment 2257293
Wanaofungwa huku gerezani ni waislam tu?.
Viongozi wa dini wa namna hii ni hatari Kwa taifa.
Mimi sio muislam sioni tatizo la post hiyo.Mheshimiwa DPP “watumwa” wa serikali yako wanakufa gerezani. Salum Khamisi kafa usiku na wengine wamedhoofika sana. Hawa ni mamia ya Waislam unaowashikilia Dar Tanga Moro Arusha Shga MZA Mtwara kwa zaidi ya miaka 9 ukidai unatafuta ushahidi. Muogopeni Mungu watendeeni watu haki.
View attachment 2257293
Wanaofungwa huku gerezani ni waislam tu?.
Viongozi wa dini wa namna hii ni hatari Kwa taifa.
Na ndo unapokosea..!! Alitakiwa aseme watanzania wanakufa gerezani..Sijui kuingiza dini kwenye hili anaongeza sifa ipiHuyo ni kiongozi wa Dini, kasema kulingana na Dini yake.
Maaskofu nao wawasemee Wakristo waliooko huko gerezani