Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIVIPI MKUUKutengeneza mabati na nondo
Inachomwa kwenye Moto kunakua na jiko linakokwa Moto mkubwa kisha zinapitishwa humo kuna sehemu kunakua na chocheo la Moto linakanyagwa na Mguu umbo km Puto nilionaga nikiwa mdogo sana, hio baadae ujiuji ukipitishwa kwenye maji inatokea chuma inapigwapigwa sana na nyundo hadi inanyooka alafu inanolewa na Tupa ndio kinatoka kifaa km Panga na vifaa vingine, unategemea na mahitaji ya mtuKIVIPI MKUU
Lakini ni lazima kwanza kufanya smelting siyo?Kutengeneza mabati na nondo
mmmh okayInachomwa kwenye Moto kunakua na jiko linakokwa Moto mkubwa kisha zinapitishwa humo kuna sehemu kunakua na chocheo la Moto linakanyagwa na Mguu umbo km Puto nilionaga nikiwa mdogo sana, hio baadae ujiuji ukipitishwa kwenye maji inatokea chuma inapigwapigwa sana na nyundo hadi inanyooka alafu inanolewa na Tupa ndio kinatoka kifaa km Panga na vifaa vingine, unategemea na mahitaji ya mtu
Shukrani sana. Sasa kama ipo shambani kwangu sijui tena nitaambiwa lazima nipate kibali ili kuutumia au?!!Chuma hio Mzee wangu alikua anatengenezea visu, mapanga, majembe, masime, reki, nk ni kwa wahunzi wanajua Cha kufanyia mbugila hawezi kuelewa
Nimeshaona hii process Kwa kabila la Wadatoga lakini hawatumii huu udongo wanatumia chuma chakavu.Inachomwa kwenye Moto kunakua na jiko linakokwa Moto mkubwa kisha zinapitishwa humo kuna sehemu kunakua na chocheo la Moto linakanyagwa na Mguu umbo km Puto nilionaga nikiwa mdogo sana, hio baadae ujiuji ukipitishwa kwenye maji inatokea chuma inapigwapigwa sana na nyundo hadi inanyooka alafu inanolewa na Tupa ndio kinatoka kifaa km Panga na vifaa vingine, unategemea na mahitaji ya mtu
Ni udongo unatumika kupata Chuma, km kwenu mmewahi kua na wahunzi kwenye kabila lenu waulize vizuri km hamjawahi kua na wahunzi basi endelea kusimuliwaNimeshaona hii process Kwa kabila la Wahadzabe lakini hawatumii huu udongo wanatumia chuma chakavu.
Shukrani mkuu nitatembelea wahunzi nikiwa na sample ya udongo nione Kila kitu in actionNi udongo unatumika kupata Chuma, km kwenu mmewahi kua na wahunzi kwenye kabila lenu waulize vizuri km hamjawahi kua na wahunzi basi endelea kusimuliwa
Itakua vizuri sana mkuu ili ujifunze Jambo,Shukrani mkuu nitatembelea wahunzi nikiwa na sample ya udongo nione Kila kitu in action