KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 739
Hello wakuu!
Mimi ni mfuatiliaji wa Music. Katika siku za hivi karibuni umezuka ugomvi kati ya Birdman na Lil Wayne.
Natamani sana kuelewa chanzo chake kwa mtazamo wangu nahisi hawana ugomvi wowote ila ni promo kwa ajili ya album ya lil wayne carter v.hebu wadau kwa anayeelewa zaidi aniongeze ili nipate elewa zaidi