mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Habari
Mwenzenu ugonjwa huu wa mafua unanitesa sana mpk imekua kero kwangu
Mara nyingi nikiupata unanifanya mdhaifu sana yaani homa kabisa mpk wakati mwingine nahisi kama nakufa
Sikumbuki kuumwa magonjwa mengine ni lini ila mafua mafua mafua ndio ugonjwa wangu mkubwa
Nimeshaenda hospital mara nyingi maana hali yangu huwa mbaya kila nikiyapata hayo mafua inapelekea niende hospital nicheck labda nina ugonjwa mwingine ila nikipimwa naambiwa siumwi ni mafua tu wanipa dawa tu
Sasa mimi nahitaji kujua kama kuna dawa ya kuondokana na hii hali nikawa tu kama wengine wakipata mafua wanakuwa kawaida tu sio kama hivi mimi navyoteseka
Nishachoka hizo dawa nazopewa kila siku ni kama hazina msaada kwangu.. Maana mpk nimekuwa muoga kila nikijisikia hali ya kuja kwa mafua nawaandaa watu maana lolote laweza kutokea
Nawasilisha[emoji2970]