Huu ugonjwa unanitesa sana… nahitaji dawa ya uhakika

Habari

Mwenzenu ugonjwa huu wa mafua unanitesa sana mpk imekua kero kwangu

Mara nyingi nikiupata unanifanya mdhaifu sana yaani homa kabisa mpk wakati mwingine nahisi kama nakufa

Sikumbuki kuumwa magonjwa mengine ni lini ila mafua mafua mafua ndio ugonjwa wangu mkubwa

Nimeshaenda hospital mara nyingi maana hali yangu huwa mbaya kila nikiyapata hayo mafua inapelekea niende hospital nicheck labda nina ugonjwa mwingine ila nikipimwa naambiwa siumwi ni mafua tu wanipa dawa tu

Sasa mimi nahitaji kujua kama kuna dawa ya kuondokana na hii hali nikawa tu kama wengine wakipata mafua wanakuwa kawaida tu sio kama hivi mimi navyoteseka

Nishachoka hizo dawa nazopewa kila siku ni kama hazina msaada kwangu.. Maana mpk nimekuwa muoga kila nikijisikia hali ya kuja kwa mafua nawaandaa watu maana lolote laweza kutokea

Nawasilisha[emoji2970]
Cheki kinga yako. Tanesco
 
Mkuu hiyo hali ilinitesa ndani ya miaka 10 niliangaika kama wewe bila mafanikio lakni baadae ndiyo nilikuja kugundua kumbe ni mazingira ndio yaliyokuwa yananitesa.
Enzi hizo nilikuwa nakaa gairo hali ya hewa ya pale ni kama ya dodoma upepo saana pamoja na vumbi kumbe mimi shida yangu ilikuwa ni vumbi pamoja na harufu kali kama ya spray yaani mtoto wa kiume enzi hizo natembea na leso kama tatu hvi ndan ya mfuko😀😀 kwa ajili ya kupenga makamasi. nilivohama tu mji na nkapona kabisa.
Hivyo angalia mazingira yako na mwenendo wako.
Kingine kunywa saana tangawizi na kutafuna kitunguu swaumu walau punje tatu kila siku.
 
Nimeanza kusumbuliwa na hii hali tangu nikiwa mdogo mdogo mpk now

Sina HIV

Kwenye low immunity siko sure kwasababu mimi kuumwa magonjwa mengine tofauti na mafua na kichwa sikumbuki mara ya mwisho lini

Labda hiyo Allergy ndio nicheck
We are in the same boat.. mafua huwa yananitesa saana hasa nikipata vumbi. Sasa hivi natumia garlic +onion. Asubuhi nakula raw onion, chopped in small cubes then i swallow with water, evening I chew garlic...Nimeyashinda.

Kichwa ndiyo bado nna struggle. Magonjwa mengine aiseee it's more than 20 years sijaumwa
 
Habari

Mwenzenu ugonjwa huu wa mafua unanitesa sana mpk imekua kero kwangu

Mara nyingi nikiupata unanifanya mdhaifu sana yaani homa kabisa mpk wakati mwingine nahisi kama nakufa

Sikumbuki kuumwa magonjwa mengine ni lini ila mafua mafua mafua ndio ugonjwa wangu mkubwa

Nimeshaenda hospital mara nyingi maana hali yangu huwa mbaya kila nikiyapata hayo mafua inapelekea niende hospital nicheck labda nina ugonjwa mwingine ila nikipimwa naambiwa siumwi ni mafua tu wanipa dawa tu

Sasa mimi nahitaji kujua kama kuna dawa ya kuondokana na hii hali nikawa tu kama wengine wakipata mafua wanakuwa kawaida tu sio kama hivi mimi navyoteseka

Nishachoka hizo dawa nazopewa kila siku ni kama hazina msaada kwangu.. Maana mpk nimekuwa muoga kila nikijisikia hali ya kuja kwa mafua nawaandaa watu maana lolote laweza kutokea

Nawasilisha[emoji2970]
Mafua hayana dawa! Mara nyingi hutegemea Kinga Asili za mwili wa mtu. Lakini kikubwa unatakiwa kubaini sababu za wewe kupata mafua mara kwa mara. Mazingira unayoishi au kukaa muda mrefu huwa sababu ya kwanza ikiwemo Harufu unayovuta, hewa yenye vumbi au manukato makali ni sababu kuu. Pia, kama kuna aina ya visababishi ndani ya nyumba makazi yako unaweza kuhangaika milele hadi uviondoe vitu hivyo.

Perfumes, Mafuta, Vumbi, Poleni ya Maua, Manyoya n.k.
 
Yeah Pengine Labda Awe anatumia Tangawizi na Lemon juice au Lime juice au Mchanganyiko wa Hivyo vyote kwa pamoja aidha lime Juice pamoja na Tangawizi anakunywa Inaweza kuongeza Immunity ya Kutopata Flue kwa haraka..

Au kama ataweza anapaswa kununua Multi vitamini au Akipata Vitamin C ni nzuri zaidi
 
Dawa zipo! Changamoto kubwa ni mfumo wako wa Kinga ambao hureact kwa nguvu kubwa kila unapotaka kuingiliwa na wadudu kutoka nje,Hali hiyo inakupelekea kupata allergy kila wakati ambayo matokeo yake ndiyo hayo mafua.
 
Habari

Mwenzenu ugonjwa huu wa mafua unanitesa sana mpk imekua kero kwangu

Mara nyingi nikiupata unanifanya mdhaifu sana yaani homa kabisa mpk wakati mwingine nahisi kama nakufa

Sikumbuki kuumwa magonjwa mengine ni lini ila mafua mafua mafua ndio ugonjwa wangu mkubwa

Nimeshaenda hospital mara nyingi maana hali yangu huwa mbaya kila nikiyapata hayo mafua inapelekea niende hospital nicheck labda nina ugonjwa mwingine ila nikipimwa naambiwa siumwi ni mafua tu wanipa dawa tu

Sasa mimi nahitaji kujua kama kuna dawa ya kuondokana na hii hali nikawa tu kama wengine wakipata mafua wanakuwa kawaida tu sio kama hivi mimi navyoteseka

Nishachoka hizo dawa nazopewa kila siku ni kama hazina msaada kwangu.. Maana mpk nimekuwa muoga kila nikijisikia hali ya kuja kwa mafua nawaandaa watu maana lolote laweza kutokea

Nawasilisha[emoji2970]
Pole sana.

Kuumwa mafua ya mara kwa mara inaweza kuwa kuna shida kwenye mfumo wako wa juu wa upumuaji (upper respiratory tract) ambayo hujumuisha: masikio, pua na koo [ENT].

Mara nyingi mafua huwa ya muda mrefu na huwa kuna vitu ambavyo huchochea ( mfano vumbi, hali ya hewa, perfumes, poleni za mimea mbalimbali nk), inakuwa kama mzio fulani, (allergy), hali hii huitwa Allergic Rhinitis na ili kubaini kama ndiyo yenyewe unatakiwa uonane na daktari bingwa wa masikio, pua na koo ( ENT surgeon).

Kwa hiyo nenda hospitali ambayo ina wataalamu hao bingwa wa masikio, pua na koo ( ENT surgeon) ili ulifanyiwe uchunguzi kubaini tatizo linalomsumbua na hatimaye upatiwe matibabu sahihi.
Kila lakheri.
 
Habari

Mwenzenu ugonjwa huu wa mafua unanitesa sana mpk imekua kero kwangu

Mara nyingi nikiupata unanifanya mdhaifu sana yaani homa kabisa mpk wakati mwingine nahisi kama nakufa

Sikumbuki kuumwa magonjwa mengine ni lini ila mafua mafua mafua ndio ugonjwa wangu mkubwa

Nimeshaenda hospital mara nyingi maana hali yangu huwa mbaya kila nikiyapata hayo mafua inapelekea niende hospital nicheck labda nina ugonjwa mwingine ila nikipimwa naambiwa siumwi ni mafua tu wanipa dawa tu

Sasa mimi nahitaji kujua kama kuna dawa ya kuondokana na hii hali nikawa tu kama wengine wakipata mafua wanakuwa kawaida tu sio kama hivi mimi navyoteseka

Nishachoka hizo dawa nazopewa kila siku ni kama hazina msaada kwangu.. Maana mpk nimekuwa muoga kila nikijisikia hali ya kuja kwa mafua nawaandaa watu maana lolote laweza kutokea

Nawasilisha[emoji2970]
Acha kulala na feni
 
Kuna Mtu alikuwa na mafua sugu pia, yaani hayaishi KABISA kwa dawa za hospitali...

akaenda Arusha kuchomewa majani flani hivi unayavuta na pua ule moshi wake, baada ya siku 3 mpk leo yakakoma

Nikipata namba ya yule mama wa kimasai nitakupa
 
Kama walivyoshauri wenzangu hapo juu...ni kweli mazingira wakati mwingine yanasababisha iyo hali hivyo basi jaribu kulitazama hilo....lakini pia binafsi nikipatwa na mafua huwa natumia kitunguu maji kimoja usiku na kimoja asubuhi (kwa siku 2 mpk 3)lkn ukianza tu kutumia kitunguu hicho ndani ya dakika tatu mpk kumi unaona majibu na baadae yanaisha kabisa
 
Habari

Mwenzenu ugonjwa huu wa mafua unanitesa sana mpk imekua kero kwangu

Mara nyingi nikiupata unanifanya mdhaifu sana yaani homa kabisa mpk wakati mwingine nahisi kama nakufa

Sikumbuki kuumwa magonjwa mengine ni lini ila mafua mafua mafua ndio ugonjwa wangu mkubwa

Nimeshaenda hospital mara nyingi maana hali yangu huwa mbaya kila nikiyapata hayo mafua inapelekea niende hospital nicheck labda nina ugonjwa mwingine ila nikipimwa naambiwa siumwi ni mafua tu wanipa dawa tu

Sasa mimi nahitaji kujua kama kuna dawa ya kuondokana na hii hali nikawa tu kama wengine wakipata mafua wanakuwa kawaida tu sio kama hivi mimi navyoteseka

Nishachoka hizo dawa nazopewa kila siku ni kama hazina msaada kwangu.. Maana mpk nimekuwa muoga kila nikijisikia hali ya kuja kwa mafua nawaandaa watu maana lolote laweza kutokea

Nawasilisha[emoji2970]
Zuia stimulus za fluu
Yaani vile vichocheo vya mafua kama vumbi, marashi makali
Uvundo

Angalia pia vitu kama nguo za manyoya
Kukaa karibu na paka au mbwa
Moshi
Nk.

Kunywa maji yenye mchanganyiko wa tangawizi na limao na chumvi kiasi kila siku.

Nenda Kwa wataalam wa ENT
Watakuamgalia zaidi.
 
Aisee watu wa group O huwa tunahangaika sana na mafua, hata mimi yalinitesa ila sasa nimepata suluhu, najua kuna wanaojiita wataalaamu watanipinga lkn hiyo ndo suluhu yangu
Kuna kidonge fulani kinaitwa "celestamine" ni vidonge vidogo kama piliton au cetrizen lakini vina rangi ya pink, aisee jaribu uone, unaweza kimoja tu, ndiyo utasinzia sana lakini ukiamka mafua kwisha, fanya alafu utaleta ushuhuda ..natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom