huu ugonjwa unatibika vipi?

tara

Senior Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
189
Reaction score
61
Habri JF kuna kitu naomba kukileta kwenu tusaidiane kulitatua. Tatizo la kutojiamini mbele za watu. Mtu anaweza akawa anajua kitu lakini akaogopa kujielezea mbele za watu.hasa linapokuja swala la kujielezea kwa english,tabia ya kuogopa kuchekwa utakapokosea kujielezea..ama inapotokea umesimama mbele ya watu nakuongea kwa kutetemeka sana. Ila linapokuja swala la one on one talk aibu inapungua. ...ili tatizo madoctor linapunguzwaje? Mtu afanye nini kujipa confidence ya kusimama mbele ya watu na kijielezea bila kuonyesha mtetemeko wa sauti kuashiria amejawa uwoga. Nawakilisha kwenu....
 
I think this is of more psychological than medical,huh?
 
Ni suala la kuikataa hali hiyo.Mgfano woga mwingi unaletwa sana na kutokuwa na maandalizi au kutokuwa na uhakika na kile unachotaka kukisema,lakini pia jitahidi kufanya mazoezi wewe mwenyewe mfano kwenye kioo au na sehemu nyinginezo.Kwa uzoefu wangu,suala la kutojiamini linasababishwa na historia yako(background)na pia kukosa exposure katika mambo mengi,na pengine malezi uliyopata utotoni.
 
unasumbuliwa na phobia, kuna phobia za aina nyingi lakini yako inaweza kuwa social phobia, wataalam wa magonjwa ya akili ndio fani yao na wanaweza kukusaidia zaidi, haihitaji kutumia dawa lakini utapewa ushauri na mazoezi ya kufanya ili kuondoa hiyo hali. Nenda kliniki ya wagonjwa wa akili Muhimbili utapata msaada zaidi.
 
Low self esteeme, this is more of psychological and treatment is of behavioural therapy, nenda kwa psychologist au mwone Dr
 
Jizoeze kidogokidogo hatimae utakuwa nguli kwenye Public presentation.
Sio tuu maofisini na mashuleni, Wapo pia watu wazima wanatetemekaga na kusikia aibu wakti wa kutongoza live, ila wakishazoea mbona balaa.
 
Graded exposure is one its treatment. Tafuta psychologist au dactari maana mwisho utaishia kunywa pombe ili ujiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…