kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Siyo mkwel, anabadilisha maelezo kila kuchaoUmejuaje sio yako?
Sababu simuamini, kun Uzi utafute upo humu ," kipimo ch upt kinaonyesha baada y muda gani" utanielew mkuuUnaweza elezea mazingira aliyopata huo ujauzito katika mkutadha huu:
1. Mzunguko wake wa hedhi, (siku ngapi)
2. Most fertile day kwake,
3. Siku uliyomla kimasihara,
4. Sababu za kuukataa ujauzito
Daaahh mnanikatisha tamaa wakuuLea tu mkuu au saizi jazia jazia baadhi ya viungo........hicho kiumbe ndiyo kitakulea maana ni dume...
Maelezo yako hayajajitosheleza kabisa kuhusu mazingira ya mahusiano yenu mpaka hiyo mimba kupayikana, ni ngumu mtu kutoa ushauri hapa,zaidi zaidi itakuwa soga tuDaaahh mnanikatisha tamaa wakuu
Utakuta jamaa mwnyewe kitombi, alikua anatia tia tu kila weekUmejilizisha? Umehakiki scientifically kwanini hukuenda kucheki ultra sound ukajua siku gani alishika ujauzito halafu sasa mcheki na siku mlioshiriki kuliko kukurupuka kwa akili za kuambiwa,
tamaa ya nini na huku huo ni mzigo, kwani wewe ukupiga bao? eboh!!Daaahh mnanikatisha tamaa wakuu
mkuu uko serious kweli mwamba? Yaani mtu anataka kukushauri aanze tena kuhangaika kutafuta uzi. Shida ni yako kumbuka si yake. We mweleze kwa ufupi tu atakushauri. Si unawajua wabongo na uvivu wetu?Sababu simuamini, kun Uzi utafute upo humu ," kipimo ch upt kinaonyesha baada y muda gani" utanielew mkuu
Nakuunga mkono, umeongea kwa hekima na busara sana. Kuna maamuzi ya kitoto na kujifanya mjanja ila mwisho wake huwa unatesa na kuumiza sana na kwa wakati huo unakua huna nafasi ya kurudisha muda nyuma na kuyarekebisha. Kila mtu anafanya kosa au makosa kwa wakati na nyakati tofautiAngalia sana maamuzi yako mkuu.
Maelezo kujichanganya kwa wanawake ni kawaida sana. Hata yeye haelewi vizuri hayo mambo especially akiwa prime.
Kama kaka yako NAKUONYA BE VERY CAREFUL NBA AAMUZI YAKO. Usione sifa saa hizi kujifanya kidume kukataa mimba, huwa kuna concequencies kibao mkuu kwenye kukataa mimba