Huu ujinga tutaufanya hadi lini CCM wenzangu?!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Nina uhakika asilimia zote CCM kwa maslahi yake inamuunga mkono yule binti Katibu Mkuu wa NCCR MAGEUZI ili kuleta mgogoro ili Mbatia afukuzwe na kubaki NCCR yenye u CCM ya hewala boss.

Sote tunatambua kosa la James ni pale alipojitokeza hadharani mwanzoni mwa Utawala wa Mtawala wa sasa kuuponda kwa ulege lege wake.

Niieleze wazi CCM yangu, hayo mambo ya kuleta migogoro kwenye vyama vya upinzani hayana tija chanya bali ni kujidanganya tu kwa mda muchache. Ya nini turudie kosa alilolifanya JPM?!

Upinzani ndilo jicho la Utawala uongozao Serikali. Tusiuminye!
 
Mkishindwa mambo yenu mnawalaumu CCM? Huna hata haya we mwanaharamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…