Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Mjukuu Wangu chaula hujajambo ni mimi babu yako nimeludi kutoka kongo sasa yale mambo yetu yatakwenda vizuli naile ndagu niliyokupa inaonekana imekufa vizuli maana kilakunapokucha unaongeza magali ila munachoniuzi wewe nawenzako wakina mwendamwaseke munaniletea watu nawasaidia bule wanaenda kufanikiwa hawaludi kushukulu haya vijana musione hvyo kunawatu wanatamani sana kuwa kama nyie lakini hawajui waanzie wapi kuweni makini na mashelti na dawa yakuvuta wateja kwenye hoteli kama mwanzo nimekuja nayo nihatali nilivyo itengeneza mwagizie kijana ajeachukuwe au nipigie simu nikuelekeze vizuli.