Huu ujumbe kanitumia mshana Jr kwa namba ngeni nimjibuje?

Mkuu nimecheka hadi machozi yamenitoka!!! Popote ulipo mshana Jr tambua kuwa nakupenda bro.... Mchango wako humu JF umekua ukinifurahisha Sana....

Leo watu wameambua kumake fun na Kiukweli kwa hili wamekuweza! Big up mleta uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji121] [emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji120] [emoji123]
 
Hii msg nimetumiwa saan ten kweny namb amby nimesajli c muda.
 
Mwendamseke[emoji3][emoji3][emoji3],chaula[emoji3] hao Njombe hao
 
Kiukweli nina rafiki yangu kazi yake ndo hiyo siku akizipiga huwa tunakula bata balaaaaa wala sitii chumvi tatizo ukienda kwake mkilala usiku mara mchanga umwagike mara mokaa zitembeee mara pikpik

Yan ni taflani kiukweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashelti.ahaaaa ahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…