Huu ujumbe kanitumia mshana Jr kwa namba ngeni nimjibuje?

Mbona huku sijawahi kuona ukitukana na kuna baadhi wanakukera
Niliwahi siku moja mpaka huyo member akaumwa halafu nikaishia kupigwa ban... Nakiri sikutenda kwa weledi na niliomba radhi baada ya ban lakini kuna wakati uvumilivu hufikia kiwango cha kushindwa
 
Niliwahi siku moja mpaka huyo member akaumwa halafu nikaishia kupigwa ban... Nakiri sikutenda kwa weledi na niliomba radhi baada ya ban lakini kuna wakati uvumilivu hufikia kiwango cha kushindwa
Hee!! hata wewe ukapigwa ban?
 
Hao ni matapeli....leo asubuhi wametoka kunitumia msg nimewaendea hewani nikawauliza kama wanawashwa niwasugue....jamaa akakata simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…