Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wadai[emoji23]Halotel wamenipiga tukio, Jana Nimeweka Gb1 Mida ya sa3 usika nikawasha Data nikafungua Whatsapp nikachart kidgo nikazima data nikalala, Asubuhi naambiwa Salio Langu limekata [emoji23][emoji23][emoji23]
Akili zao Hazina Akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watakuja vijana watasema tafuta pesa
Huu utaratibu wamenifanyia hivo mara kadhaa. .Wadai[emoji23]