Huu ujumbe unanikera sana wakuu!

Huu ujumbe unanikera sana wakuu!

Halotel wamenipiga tukio, Jana Nimeweka Gb1 Mida ya sa3 usika nikawasha Data nikafungua Whatsapp nikachart kidgo nikazima data nikalala, Asubuhi naambiwa Salio Langu limekata [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadai[emoji23]
 
Uhuni
Screenshot_20220913-100145.jpg
 
Tuendelee kulipa kodi na Tozo wakuu.
🤣😂😂😂 nacheka lakini naogopa.
 
Airtel wamenitumia dkk 10 zilizopita
 
Back
Top Bottom