kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Hakuna mfumo wa serikali ambao upo accurate, mifumo mingi ya serikali ina mapungufu halafu mapungufu mengi ni ya uzembe tu wa ma developer au kuto kujua au utaalam mdogondio,ajira portal wanataka document size iwe 2 mb,na document zangu zina ukubwa wa kb