kichongeochuma JF-Expert Member Joined Jan 21, 2024 Posts 1,669 Reaction score 2,864 Aug 8, 2024 #21 Satisfy said: ndio,ajira portal wanataka document size iwe 2 mb,na document zangu zina ukubwa wa kb Click to expand... Hakuna mfumo wa serikali ambao upo accurate, mifumo mingi ya serikali ina mapungufu halafu mapungufu mengi ni ya uzembe tu wa ma developer au kuto kujua au utaalam mdogo
Satisfy said: ndio,ajira portal wanataka document size iwe 2 mb,na document zangu zina ukubwa wa kb Click to expand... Hakuna mfumo wa serikali ambao upo accurate, mifumo mingi ya serikali ina mapungufu halafu mapungufu mengi ni ya uzembe tu wa ma developer au kuto kujua au utaalam mdogo
Satisfy Senior Member Joined Jun 25, 2022 Posts 147 Reaction score 237 Jan 4, 2025 Thread starter #23 kiongozi ufumbuzi sikupata,japokuwa wadau walinishauri baadhi ya njia za kufuata lkn ilishindikana.