mashuka collection
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 608
- 1,409
Haya bnaMuongozo waliotoa ni watu waangalie sipa account, sipa account ndio hiyo.
Na mimi imenikuta hii ila mwanzo ilisoma na ukaja mgawanyo wa pesaView attachment 3124507naomba kuuliza .....ikiwa hivi ndo mkopo hamna au
Ingia saiz mfumo umerud vzrToka jana inasoma connection error
Kweli unauhakiki na hiloHuyo kakosa ndugu yangu, japo ukweli unauma