Huu ukatili kwa watoto sijui hatma yake ni wapi. Nini kifanyike ili kudhibiti hili janga?

Kama huyo alobakwa na baba yake na rafiki ya baba yake. Mama yake amesafiri na mpaka Sasa hajarudi
Ndiyo maana tunasema na hata humu kila siku tunapiga kelele kwamba enyi kinamama washawishini au waachieni waume zenu wawe ndo watafuta ridhiki wakuu wa familia zenu ninyi m’baki majumbani mkiwalea watoto na kuwalinda dhidi ya hila mbaya kama hizi but mnakataa mnasema na ninyi mnataka mtafute za kwenu ili heshima ndani iwepo.

Jukumu la mama kuwa mwangalizi wa familia na nyumba kwa ujumla leo halipo,wote kujifanya mpo busy na kupeleka tutoto aged 2½ shule za bweni na watoto wanalelewa na house maids na house boys ukiuliza mama ameenda kazini baba ameenda kazini mara mama amefata mzigo sijui Arusha baba amepeleka mzigo Congo unataka watoto wasiharibiwe?huyo house boy uliyeachia watoto unaijua tabia yake?

Waafrica tulipouingia mkenge wa haki sawa hapo ndo tuliuza kila kitu hadi utu wetu kama kuna hiyo kesi hapo juu ya mpemba kulawiti bintiye mama yake akiwa amelala usifikiri kuna kingine (sitetei) ila it's obviously kulikuwa na kutoelewana kati ya baba na mama kuhusu mambo ya chumbani sometimes kumnyima unyumba mwanaume akimng’ang’ania anamtishia dawati la jinsia kwamba umenibaka mwanaume nae kwa akili zake fupi au kudhani anamkomesha mke akaenda kuharibu mtoto wake.

Na bado kama hatukurudi ktk misingi sahihi ya familia zetu za Kiafrika hili jambo litatusumbua sana.
 
Mungu wangu hii dunia Kwakweli🙆🙆watoto wetu tuwafiche wapii..!!!mmh
 
Sawaaa, lakini kunyimwa unyumba ndo iwe chanzo Cha kulawiti mtoto wa kumzaa kweli? Tena ni ziezi endelevu, bila huruma?... Jirani ndiyo anakuja kuufahamu ukweli baada ya mtoto kugoma kwenda kulala na baba yake, akilalamika sehemu za Siri zinamuuma. Tena zote 2
 
Wazazi wa karne hii wapo busy na cm zao kuliko watoto wao! Kila kitu ckuhizi wamewaachia House girl hadi kutandika kitanda
 
Haujasikia Kuna mama amebaka mtoto huko njombe au umesikia ya wanaume tu na umekuja kuwaambia akina mama kwamba akina baba ni wabakaji sio?

Kwamba akina mama wasafiri na watoto zao eti akina baba ni wabaya? Babako alikubaka wewe? Kakako alikubaka? Simply umesikia hayo matukio does it make kila mwanaume ni mbakaji? Basi mbona wewe hawajakulawiti hao wajomba zako?

You are stupid
mbona povu limekutoka sana mkuu au we ni miongoni mwa hao wabakaji?

mleta mada ameongea kitu chenye maslahi mapana sana kwa ustawi wa familia zetu sasa kosa lake nini mpaka una mu attack?

kila mtu ana uhuru wa kuandika kile ambacho amahisi hakipo sawa hivyo huwezi ingilia uhuru we mtu

kwaiyo ulitaka ili bandiko lake lionekane lamaana kwako kwamba ile hali ingemtokea na yeye? shame on you

bandiko lipo vizuri zaidi ya sana na ndio vitu hasa vya msingi vya kujadili kwenye platform kama hizi

huj ujinga unazid kushamiri siku hadi siku, na hata uko mashuleni tunaskia tu walimu wanabaka wanafunzi

mabandiko yakiwekwa umu unakuta vilaza wanatetea ujinga

sasa ngojeni walawitiwe watoto zenu ndio mtajua mbivu na mbichi

we kama mzazi mwenye akili utafumbiaje macho huu ujinga unaoendelea?

keep it up queen wala hata usitishwe na kauli za watu zenye kukukatisha tamaa

hatupo jukwaan hapa kwa ajili ya kuchangia ujinga wa watu fln
 
Nawe umevamia treni kwa mbele, unaposema eti mzazi asifumbie ujinga, umesoma na kuelewa Nilichoandika au unaleta makalio yako sababu mjombako alikufumua marinda ?

Mie sijabishia bandiko zima Bali the fact andiko linadepict Kam vile hawa perverts ni wanaume pekee hiyo ndio nimeipinga. Tunapojadili matatizo tuwe realistic sio kulipuka simply akili yako imeishia hapo ulipo then ukataka kuonyesha jamii kwamba tatizo lipo kwa wanaume pekee au kwa kutoa mifano pekee inayoongelea baba, mjomba, Kaka nk.

Hata hivyo hii ni JF kama hutaki kukosolewa usingeandika maana waliotengeneza JF waliweka sehemu ya comments ili tuweze kutoa maoni mbadala au kusapoti kinachoandikwa , hiki sio kitabu hard copy ambapo huwezi kukosoa au kuchangia.

So unapoleta mada lazima ufahamu hivyo na ukubali unapoambiwa mapungufu ya mada yako sio kupaniki tu.
 
Waafrica tunahitaji sheria nje ya mizania ya dunia ya wengine.
Sheria ya kuua ingeboreshwa
Sheria zinazoongelea haki ziangaliwe, nyingine ni silaha ya wanaotuharibia kijamii.
Mf sheria ya kutochapa mtoto sijui nan aliikubali!
Sheria kama kuruhusu ushoga hatupaswi hata kuzijadili.
Sheria za haki ya kuabudu na dini na waganga ziangaliwe upya. Ziwe monitored kwa karib. Kuna matukio yanakuwa motivated kuanzia huko.
Serkali iboreshe nguvu ya wazee wa kimila. Kila raia aondolewe kuwa yeye na sheria za nchi tu, majibu ya ovyo ya maindi yua oun bizinesi!
Kuna tabia hazijaainishwa vizur kijinai lakin ni immoral and dangerous.
mf kusali, kuhudhuria mikutano, kufanya kazi, kulewa, umalaya na maambukiz. Ziangaliwe level ya kitongoj na baraza la wazee wenye kuheshmika. Mana tuna viongoz wa serkali wana elimu tu mengine ni ovyo holela.
Kila shule ngazi zote iwe na mwl wa afya ya akili na mwili na wa michezo.
Serkali irudishe usimamiz wa maadili kwa wananchi. Tunajuana!
Kifupi tu tumechelewa maisha ya kibepari yan uovu katika survival of the fittest, sasa tunahaha.
Wengi wana msongo na matatizo ya akili!
Watu hawajui wanahitaji nini na wanataka nini!
Hali hii utaielewa ukisali makanisa ya kitapeli, ukifuatilia wanaobet, wanaojiuza me na ke. n.k.
 
Waganga wa kienyeji ndio wa kulaumiwa kwani wao ndio uharibi jamii
 
mbona povu limekutoka sana mkuu au we ni miongoni mwa hao wabakaji?

mleta mada ameongea kitu chenye maslahi mapana sana kwa ustawi wa familia zetu sasa kosa lake nini mpaka una mu attack?

kila mtu ana uhuru wa kuandika kile ambacho amahisi hakipo sawa hivyo huwezi ingilia uhuru we mtu

kwaiyo ulitaka ili bandiko lake lionekane lamaana kwako kwamba ile hali ingemtokea na yeye? shame on you

bandiko lipo vizuri zaidi ya sana na ndio vitu hasa vya msingi vya kujadili kwenye platform kama hizi

huj ujinga unazid kushamiri siku hadi siku, na hata uko mashuleni tunaskia tu walimu wanabaka wanafunzi

mabandiko yakiwekwa umu unakuta vilaza wanatetea ujinga

sasa ngojeni walawitiwe watoto zenu ndio mtajua mbivu na mbichi

we kama mzazi mwenye akili utafumbiaje macho huu ujinga unaoendelea?

keep it up queen wala hata usitishwe na kauli za watu zenye kukukatisha tamaa

hatupo jukwaan hapa kwa ajili ya kuchangia ujinga wa watu fln
Nimeshangaa Sana huyo jamaa.... Ukiona hivyo ujue ana hitilafu sehemu. Akapimwe akili
 
Kwa hiyo hata baba wa watoto wetu hatuaminiki tena jamani?

Hivi mtoto wako kabisa, mtoto wa ndugu yako kabisa, mtoto wa jamii yako kabisa...mtoto mdogo kabisa, unapata wapi ujasiri wa kumharibu kiasi hicho.

Dunia imefikia wapi!!
 
Na hizi mambo siku hizi zimeongezeka sanaaa. Ukatili wa aina mbalimbali wanatendewa watoto... Sijui tunatengeneza kizazi Cha namna gani. Kama si Cha maumivu na visasi mioyoni mwao.
 
Back
Top Bottom