RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
"Samiah usichukue fomu" ndio kilio chake kabla hajapotea hewani!!Inawezekana script aliopewa acheze imeishia njiani kama Gwajima josephat Askofu!!!
"Samiah usichukue fomu" ndio kilio chake kabla hajapotea hewani!!
Kama muonywaji amevuka mstari hakuna anachoweza kufanya zaidi ya kudra za mwenyezimungu!!
Polepole ni puppet!!Comrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia
Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako.
Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake Wahuni tuna wasiwasi nao sana isije ikawa washapita na wewe
Au kama kuna mwana CCM mwenzetu mwenye Taarifa za Ndugu Polepole atujuze
Hayati Bernad Membe alionywa na Pengo!!ikawa RIP!"Samiah usichukue fomu" ndio kilio chake kabla hajapotea hewani!!
Eeeeeh, Wosia wa Comrade POLEPOLE haujaheshimiwa, Wahuni we acha tuu
Huyu asiwahangaishe. Wanajuana na namna wanavyotengeneza zwenge kutupiga changa la matoComrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia
Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako.
Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake Wahuni tuna wasiwasi nao sana isije ikawa washapita na wewe
Au kama kuna mwana CCM mwenzetu mwenye Taarifa za Ndugu Polepole atujuze
Anguko la CCM 1995-2025.✍️📌Inawezekana script aliopewa acheze imeishia njiani kama Gwajima josephat Askofu!!!
"Samiah usichukue fomu" ndio kilio chake kabla hajapotea hewani!!
Kama muonywaji amevuka mstari hakuna anachoweza kufanya zaidi ya kudra za mwenyezimungu!!
Ona kapuku anamuita tajiri kenge ..Hana jipya huyo kenge kama kenge wengine tu
Hiyo ni speculative au uhakika!!?kwamba Raise stoke kanda ya ziwa!!?Anguko la CCM 1995-2025.✍️📌
Na huyo wakimpata wanammaliza kimya kimya na kwa vile hatujui alipo basi watapita nae kama kipanga bila ushahidi.wahuni wameshika hatamComrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia
Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako.
Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake Wahuni tuna wasiwasi nao sana isije ikawa washapita na wewe
Au kama kuna mwana CCM mwenzetu mwenye Taarifa za Ndugu Polepole atujuze
Hakuna muislam mwenye akili hata mmojaHana jipya huyo kenge kama kenge wengine tu
CHAMA kimetekwa nanwahuni wacha hawa wajinga wajinga wajifanye wanaijua CCM Kuliko wenye nayo walio onekana janaAu wenyewe hajawaona jana walivyo onyesha jeuri ya hela
Jana michawa yote ya humu JF iliufyata mkia hatukusia pledges zao hata mia, kazi kusifia tuu humu, watu wenye chama chao ndo wale sasaCHAMA kimetekwa nanwahuni wacha hawa wajinga wajinga wajifanye wanaijua CCM Kuliko wenye nayo walio onekana jana