Kama Chadema ,polepole , umebakiza ccm yaani kila mmoja hana dili lakuendeleza taifa mf. Huyu mbunge wa meru alikuwa chadema kapata tu uongozi basi . Hajasaidia lolote wananchi wameru waliimpigania kwa hali na mali sasa kahamia ccm linafiki lile so wote sio wapigania haki nawachumia matumbo yao