Huu umaskini ni wa kutisha

Huu umaskini ni wa kutisha

Yule mtetezi wa wanyonge kaondoka kabla hajawafikisha wanyonge mahali alipotaka
 
Ni kweli ndugu. Nakumbuka siku moja baada ya kukosa kazi kiwanda cha Alizeti. Wao wanalipa kila wiki. Sina pesa mfukoni, uzuri wanatoa chakula na nilikuwa naingia shift ya usiku. halafu sina pesa. Nilikuwa nategemea chakula cha kiwandani. Ukila leo mpaka kesho. Siku hiyo nikakosa kazi halafu jana sikula, (baada ya kufika, wakasema kazi hakuna, nikarudi nikalala, kesho yake usiku nikaenda wakasema kazi hakuna) Kutoka kiwandan mpaka ninapoishi ni kama saa 1 na nusu. Njaa imenikamata, nikasema, ewe Mungu naomba hata uniwezeshe niokote hata kipande cha Muogo nile. Natembea naenda nyumban, pembeni ya mti nikakuta kipande cha mhogo, kikubwa tu. Nikala njaa ikatoweka. Siku ikapita
Haya maisha, nikifikiria huwa nawaheshimu sana watu
duh!! Arusha Nini?
 
Lazima tusistize watu kuzaa watoto wachache
 
Back
Top Bottom