Huu umeme wamekata nchi nzima?

Huu umeme wamekata nchi nzima?

Exile

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2021
Posts
1,477
Reaction score
3,642
Ulipo umeme upo?

Maana naona mikoa kadhaa wanasema umeme hakuna.

Njombe, Mara, Tanga, Arusha, Mwanza na Dar hakuna umeme.

Tanzania ya viwanda hii
IMG_20240203_175537_294.jpg
 
Utasikia Magu aliharibu ndio maana tunapata tabu!
  • Enzi za Msoga hali ilikuwa hivi
  • Enzi za Magu, kijijini kwangu niliwahi kukaa miezi 3 mfululizo bila kukatika kwa umeme!

Sizungumzii level ya nchi, nazungumzia kijiji/mtaa, sikuona tatizo hili nilionalo siku hizi.

Wanufaika utawasikia, ooh, ulikuwepo ila hakuna aliyethubutu kutangaza; sasa suala la umeme kukatika, linahitaji matangazo kujua?

Au suala la vifo vya wingi vya covid-19 tusingeona mpaka tutangaziwe?

Si suala la ukame wala vita, ni upigaji
 
Back
Top Bottom