Huu umeme wamekata nchi nzima?

Huu umeme wamekata nchi nzima?

Hawa jamaa wanawaaminije tanesco maana mda wowote wanaweza kukiwasha 😂😂
20240202_170125.jpg
 
Huku niliko Pwani wilaya ya Kibaha wamekata muda mfupi uliopita!
 
Now tanesco si wakijiskia wanaamua tu kuupiga umeme chini.
Nina mashaka hao jamaa wa kukata wanakula mlungula kutoka kwa wenye vijiwe/viwanda.

Huku kusikokuwa na chochote, umeme unaweza kupotea siku mbili na ukirudi haumalizi siku unasepa tena.
 
Back
Top Bottom