Huu umeme wamekata nchi nzima?

Huu umeme wamekata nchi nzima?

Yaani watu wa dar mnatia huruma kinoma😀😀
Bila feni au ac hakuna mizagamuano
Tena feni kuna kipindi inadunda, labda upige viuno vya SLOW BUT SURE, ila ukipiga mbuno za kiHARDCORE feni haifui dafu.
Inabidi upige aste aste.. 😂🤣
 
Yaani nimehangaika kucheki kila Mahali labda Kuna sehem ume flip wapi. Nime uliza kwa majirani kama mchawi Hola....
Tanesco em turudishieni huo umeme kazi zinalala huku dah.
Hayo maendeleo yanakujaje kwa style hii aisee
 
Tena feni kuna kipindi inadunda, labda upige viuno vya SLOW BUT SURE, ila ukipiga mbuno za kiHARDCORE feni haifui dafu.
Inabidi upige aste aste.. 😂🤣
Hameni huko hapafai😀
 
Back
Top Bottom