Huu umeme wamekata nchi nzima?

Huu umeme wamekata nchi nzima?

Mama anawachewesha kwa nini hawatumbui aliwapa mpaka mwezi wa 12 hii February sasa wanakera sana
 
Mwaka huu hauishi nahama, haiwezekani mie nishindwe kuto mba kisa umeme.

Hawa tanesco akili zao sijui vipi, usikute mtu katuma nauli ya uber demu anatoka tegeta nyuki kuja kigamboni.. Halafu wao wanakata umeme.. Huku ni kufelishana 😂
duuh! kwa hali kama hiyo ya tegeta to kigamboni alafu hakuna show za moto huyo demu atakuwa amenuna mbayaa
 
unakuta mtu bonge wa mjumba wa kitajiri naye analia umeme. pumbafu weka solar la kitajiri uachane na umeme la kosakosa la tanesco tuhangaike nao akina sisi ushuzi kajamba nani
kuna tajiri moja mkurya wakt tunaenda kumrekebishia swinming pool ebwana eeh kafunga solar ya mil 15 hana habar na tanesco.
 
Sisi wa line za jeshini ndio wanaurudisha
 
Back
Top Bottom