Huu umeme wamekata nchi nzima?

Huu umeme wamekata nchi nzima?

unakuta mtu bonge wa mjumba wa kitajiri naye analia umeme. pumbafu weka solar la kitajiri uachane na umeme la kosakosa la tanesco tuhangaike nao akina sisi ushuzi kajamba nani
kuna tajiri moja mkurya wakt tunaenda kumrekebishia swinming pool ebwana eeh kafunga solar ya mil 15 hana habar na tanesco.
Hii nchi ipo autopilot

Wananchi wengi wakiweka solar watakuja na tozo ya kumiliki solar.

Ni kama kuchimba kisima. Unakilipia kodi
 
Sasa demu akinuna, mtoa nauli je atakuwa kwenye hali gani 😂🤣🤣
kwaiyo kademu inabidi kajichekeshe huku komwe lake linatiririsha jasho asije akakosa nauli ya kurudia tegeta. Tanesco nyoko sana 😂
 
Hivi vinapoharibika vifaa vya grid ya Taifa ,hatuna plan b (vyanzo vengine vya kuendelea kuzalisha umeme) hilo treni la mwendokasi lilohaidiwa leo ni siku ya tatu napata jibu.
 
Zanzibar yote umeme hakuna alafu baadae utawasikia wakisema " Muungano unatunyonya"
 
Back
Top Bottom