Huu umeme wamekata nchi nzima?

Utasikia Magu aliharibu ndio maana tunapata tabu!
  • Enzi za Msoga hali ilikuwa hivi
  • Enzi za Magu, kijijini kwangu niliwahi kukaa miezi 3 mfululizo bila kukatika kwa umeme!

Sizungumzii level ya nchi, nazungumzia kijiji/mtaa, sikuona tatizo hili nilionalo siku hizi.

Wanufaika utawasikia, ooh, ulikuwepo ila hakuna aliyethubutu kutangaza; sasa suala la umeme kukatika, linahitaji matangazo kujua?

Au suala la vifo vya wingi vya covid-19 tusingeona mpaka tutangaziwe?

Si suala la ukame wala vita, ni upigaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…