Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,366
Sold out ya mchongo
KabisaSold out ya mchongo
Unamfuatilia tapeli ka Ghana!!!Mtoa mada ulienda uwanjani au umehadithiwa? Kwa taarifa yako jamaa yangu alikwama kuingia uwanjani kwakuwa alifika nusu saa kabla ya game kuanza akakosa access ya kuingia. Baada ya rais mwinyi na watu wa FIFA n CAF kuingia raia walizuiwa kuingia. Ikabidi jamaa yangu aende Temeke kuangalia kideoni. Walisema sababu za kiusalama.
Kujazia nyama nenda FB page ya yule mwandishi wa Ghana Micky Jr alikuja Taifa akakwama nje hadi half time aliingia uwanjani.
Unamaanisha nn kusema tapeli? Alikutapeli?Unamfuatilia tapeli ka Ghana!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kukwama kuingia uwanjani Kuna uhusiano gani na kujaza uwanja?Mtoa mada ulienda uwanjani au umehadithiwa? Kwa taarifa yako jamaa yangu alikwama kuingia uwanjani kwakuwa alifika nusu saa kabla ya game kuanza akakosa access ya kuingia. Baada ya rais mwinyi na watu wa FIFA n CAF kuingia raia walizuiwa kuingia. Ikabidi jamaa yangu aende Temeke kuangalia kideoni. Walisema sababu za kiusalama.
Kujazia nyama nenda FB page ya yule mwandishi wa Ghana Micky Jr alikuja Taifa akakwama nje hadi half time aliingia uwanjani.
Kwaiyo Yale mapengo watu walikuwa wamejificha chini ya viti au? Alafu unatuletea story za uyo tapeli Micky mlamba viatu wa makoloMtoa mada ulienda uwanjani au umehadithiwa? Kwa taarifa yako jamaa yangu alikwama kuingia uwanjani kwakuwa alifika nusu saa kabla ya game kuanza akakosa access ya kuingia. Baada ya rais mwinyi na watu wa FIFA n CAF kuingia raia walizuiwa kuingia. Ikabidi jamaa yangu aende Temeke kuangalia kideoni. Walisema sababu za kiusalama.
Kujazia nyama nenda FB page ya yule mwandishi wa Ghana Micky Jr alikuja Taifa akakwama nje hadi half time aliingia uwanjani.
Kwahiyo unamaanisha kuna waliokata tiketi lakini hawakuwa na mpango wa kwenda?Kila aliyekata tiketi lazima aende?
Hii ndio sababu ilinifanya nisiende uwanjani, siku ya Simba day nilizuiwa nikiwa na tiketi wakasema uwanja imejaa.Mtoa mada ulienda uwanjani au umehadithiwa? Kwa taarifa yako jamaa yangu alikwama kuingia uwanjani kwakuwa alifika nusu saa kabla ya game kuanza akakosa access ya kuingia. Baada ya rais mwinyi na watu wa FIFA n CAF kuingia raia walizuiwa kuingia. Ikabidi jamaa yangu aende Temeke kuangalia kideoni. Walisema sababu za kiusalama.
Kujazia nyama nenda FB page ya yule mwandishi wa Ghana Micky Jr alikuja Taifa akakwama nje hadi half time aliingia uwanjani.
Ndo maana nmeuliza kabla sijaandika zaidi. Ulikuwa uwanjani ukajua kilichoendelea? Tuanzie hapo kwanzaKukwama kuingia uwanjani Kuna uhusiano gani na kujaza uwanja?