Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

Makolo Wote ni mbumbumbu na mazuzu kasoro mmoja tu Rage,

Hizi kauli tata za viongozi wao sijui sold out, mara Simba ni klabu namba moja duniani kwa Fifa ranking, huwa mbumbumbu wakiziamini sana maana akili ya kuchambua vitu hawana!

Mashabiki kolowizard wote ni mazuzu kwa kwenda uwanjani huku timu yao ikicheza kama Abajalo au Faru Dume na ukweli kuwa haina kombe lolote msimu wa tatu huu!

Ngao ya jamii ni mbao sio kombe na waliipata kwa mchongo Ally Salim kuruka kabla ya penati za Yanga kupigwa!
Kwa kauli hizi basi , hata sisi tusema Luc Eymael kuwaita utopolo Manyani , mnaobweka kama mbwa ni sahihi?
 
Ihefu
Screenshot_20231021-050352.jpg
 
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.

Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.

Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.

Unajadili mambo mawili tofauti:
All tickets sold out vs Uwanja kujaa.

All tickets sold out, ilitokana na idadi ya nafasi (tickets) ambazo Simba walipewa na CAF. Pia waliomba kuongezewa nafasi/tickets nyingine ziuzwe.

Kujaa uwanja ni hitimisho lako, kulingana na matarajio yako na uelewa wa mambo pia. Hakuna kiongozi aliyesema uwanja umejaa au haujajaa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Mwenzenu Huyu
 
Attachments

  • VID-20231022-WA0001.mp4
    1.2 MB
Mwenzenu Huyu
Hoja juu ya hoja, sawa tumehama.

Hii hoya hoya achana nayo muulize kadi ya uanacha kama anayo au nafasi yake mpaka awe msemaji. Kila mtu anaweza kuvaa jezi na kusema atakayo kwa lengo au malengo yake na msukumo wake.

Huwezi kuokota kila mtu ukataka mawazo yake yawe ya taasisi.

Kwani wenzetu ndo wameshindwa kutumia inflence yao kuingia kwenye mashindano? Mbona naibu waziri aliweka influence? Alifanikiwa?
Mtu akikushinda hata kwa influence, amekushinda kama wewe influence umeshindwa kuitumia.

Ukitaka kurushia mawe kwa kila mbwa anaebweka njiani utakumbuka siraha zako vita ikianza.
 
kuna tofauti kati ya sold out = kuuza zote na Full house = kujaza uwanja mzima
 
Kwani ukiwa na mpango wa kwenda uwanjani lazima uende? Huko kwenu kila mipango hutimia?
Kuna tofauti ya kuwa na mpango, na kukata ticket kabisa.

Kukata ticket maana yake umeshapitisha huo mpango wa kwenda.
 
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.
Basi tufanye uwanja haukujaa ila tiketi zikaisha, pengine baadhi ya waliokata hawakuingia. Hiyo itazuia nini kusema 'sold out'?
 
Kuna tofauti ya kuwa na mpango, na kukata ticket kabisa.
Kukata ticket maana yake umeshapitisha huo mpango wa kwenda.
Kwani huwezi kukata tiketi halafu ukaichoma moto? Nao si mpango pia? Ukichangia harusi ni lazima uhudhurie? Kama ghafla umepata tumbo la kuharisha?
 
Kwani huwezi kukata tiketi halafu ukaichoma moto? Nao si mpango pia? Ukichangia harusi ni lazima uhudhurie? Kama ghafla umepata tumbo la kuharisha?
Mpaka unalipia, maana yake umedhamiria kwenda. Labda itokee dharura, ndio inaweza kukuzuia.

Sasa refer yale mapengo kwenye mechi ya juzi, je zile zote ni dharura ?
 
Mnaifatilia sana klabu kubwa yenye mafanikio barani Afrika SIMBA SC,

THIS IS SIMBA ,
nyie kenge muumie tu[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Mpaka unalipia, maana yake umedhamiria kwenda. Labda itokee dharura, ndio inaweza kukuzuia.
Sasa refer yale mapengo kwenye mechi ya juzi, je zile zote ni dharura ?
Sasa tujadili tunafanyaje. Tuwatafute waliokata tiketi? Maana ilikuwa ukijaribu kukata inagoma, zimeisha. Hebu toa ushauri basi, usiishie kulalamika
 
Sasa tujadili tunafanyaje. Tuwatafute waliokata tiketi? Maana ilikuwa ukijaribu kukata inagoma, zimeisha. Hebu toa ushauri basi, usiishie kulalamika
Kumbe nilikuwa nalalamika? Sikuwa najua mkuu.
 
Yawezekana kweli unaenda tu na uzi hujui unachohitaji
Wewe uliyeniquote ndio nahisi hujajua huko juu tulikuwa tunaongelea Nini. Tofauti na hapo, usingeniambia nitoe ushauri...

Labda ushauri nikupe wewe mkuu, unapoamua kumquote mtu, walau jaribu kufatilia msingi wa conversation yao iliapoanzia.
 
Back
Top Bottom