Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

Mtatafuta kila sababu lakini wenye akili tunasema kuwa hakukuwa na sold out wala taratibu za FIFA,tuliokuwa Uwanjani tulishuhudia ilipofika saa kumi na moja kasoro kulikuwa na fungulia Mbwa ya kufa mtu,yeyote aliekuwepo maeneo ya nje ya Uwanja alilatakiwa aingie ndani apende asipende.
Umekula lkn. Na chai umekunywa?

Siyo kwa haya mahangaiko!
 
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.

Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.

Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Nendeni mkashitaki FIFA
 
Sold out na uwanja kujaa ni vitu tofauti… Ukiangalia mazingira ya jiji, Ni rahisi mtu kununua ticket ila mda wa kwenda uwanjani anaghairi.

Pia watu hununua ticket kwajili ya kuziuza kwa bei ya juu, wakishindwa kuzimaliza ni wao. Ila hesabu ya simba ziliisha

Af naskia kuna ticket walinunua utopolo wakazichoma ili tu uwanja usijae
Hata kama ila sio kwa mapengo yote yale
 
Mtatafuta kila sababu lakini wenye akili tunasema kuwa hakukuwa na sold out wala taratibu za FIFA,tuliokuwa Uwanjani tulishuhudia ilipofika saa kumi na moja kasoro kulikuwa na fungulia Mbwa ya kufa mtu,yeyote aliekuwepo maeneo ya nje ya Uwanja alilatakiwa aingie ndani apende asipende.
[emoji23][emoji23]eti upende, usipende
 
UJINGA ni KIPAJI.

Bora Muwe mnatutag TUNAWAFUNDISHA.

IPO Hivi...
Simba waliuza Tikert zoooooteeeee.

Baadhi ya Ticket zilinunuliwa na Walanguzi.

Mtu mmoja ananua tiketi 100@7000
LENGO lake ni kwenda kuziuza kwa 15000/=

WATU WALIPOSIKIA SOLD OUT WAKAOGOPA KWENDA KUNUNUA KWA WALANGUZI WAKIHOFIA TIKETI FEKI.

CHUKUA HIYO
Leta ushahidi
 
.
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    17.3 KB · Views: 3
Mmeambiwa msibishane na Utopolo..jana ile iliwaharibu akili ilikua ni vayolensi..chezea kuangalia tuu kideoni mnyama ana pata maujiko....Simba nguvu moyaaaaa
 
Sold out inaweza kunamaanisha ticket zilizoandaliwa zilikwisha. Swali za kuuliza ni; Je ni ticket za kila siti uwanjani? Au baadhi ya siti? Kama ni baadhi ya siti, basi huenda ni kweli ziliisha, hivyo kusema "sold out" sio kosa. Ila kama ilimaanisha kila siti uwanjani, basi "sold out" haikutaliwa kusemwa.
 
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.

Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.

Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Sasa we unategemea mpira unaanza saa kumi na mbili niende uwanjano saa Tisa itanisaidia Nini..

Unataseka ukiwa wapi ndugu yangu 😅😅😅
Mpira haukuwa chini ya Simba wala al ahly waulize FIFA CAF na TFF ndo uliokuwa chini yao na ndo walitangaza
soldout' simba walikazia tuu...

Mpira umeanza Saa 12 halafu fungulia mbwa imeanza saa 11 ndugu yangu bado una hang over ya roho mbaya karudi kulala au kazimue kwa kuangalia tena pira la jana la simba
 
Tiketi kuanzia elfu saba ambayo hata nusu ya mdudu hupati na kinywaji pembeni
 
Mtoa mada ulienda uwanjani au umehadithiwa? Kwa taarifa yako jamaa yangu alikwama kuingia uwanjani kwakuwa alifika nusu saa kabla ya game kuanza akakosa access ya kuingia. Baada ya rais mwinyi na watu wa FIFA n CAF kuingia raia walizuiwa kuingia. Ikabidi jamaa yangu aende Temeke kuangalia kideoni. Walisema sababu za kiusalama.
Kujazia nyama nenda FB page ya yule mwandishi wa Ghana Micky Jr alikuja Taifa akakwama nje hadi half time aliingia uwanjani.
Hivi hii ya kuzuia watu lisa kuna kiongozi mkubwa kashaingia, hua inatangazwa kabla au mtu unakutana nayo kama suprise ? Maana tunajua bongo mteja /raia hathaminiwi

Hata huyo micky niliona kapost alikua nje na askari ila ni vizuri kama alifanikiwa ingia
 
Makolo Wote ni mbumbumbu na mazuzu kasoro mmoja tu Rage,

Hizi kauli tata za viongozi wao sijui sold out, mara Simba ni klabu namba moja duniani kwa Fifa ranking, huwa mbumbumbu wakiziamini sana maana akili ya kuchambua vitu hawana!

Mashabiki kolowizard wote ni mazuzu kwa kwenda uwanjani huku timu yao ikicheza kama Abajalo au Faru Dume na ukweli kuwa haina kombe lolote msimu wa tatu huu!

Ngao ya jamii ni mbao sio kombe na waliipata kwa mchongo Ally Salim kuruka kabla ya penati za Yanga kupigwa!
 
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.

Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.

Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Uwanja haukujaa uwezo huo hawana, wanaleta hadithi za abunuasi
 
UJINGA ni KIPAJI.

Bora Muwe mnatutag TUNAWAFUNDISHA.

IPO Hivi...
Simba waliuza Tikert zoooooteeeee.

Baadhi ya Ticket zilinunuliwa na Walanguzi.

Mtu mmoja ananua tiketi 100@7000
LENGO lake ni kwenda kuziuza kwa 15000/=

WATU WALIPOSIKIA SOLD OUT WAKAOGOPA KWENDA KUNUNUA KWA WALANGUZI WAKIHOFIA TIKETI FEKI.

CHUKUA HIYO
Hata mdhamini wenu wa jezi amefanya hivyo amenunua tickets kwa elfu 7 alafu yeye pale dukani kwake alikua anaziuza kwa elfu 20 mpaka watu walikua wanalalamika
 
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.

Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.

Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Pamoja na kuwa mpira wetu wa kiwanjan umeendelea, kwa maana ya wachezaji tulionaeo au tunaowaleta.. bado nje ya uwanja kwenye mitazamo ya wapenz na washabiki tuko nyuma sana,, mihemuko inatuongozo na bahat mbaya utaona media ambazo zinapaswa kuwa walimu wa kuwasogeza mashabiki na wapenz wa mpira kwenye fikra za kisasa na wao wanachochochea

Hv mtoa mada kwa hali ya kawaida umejiuliza kama walitaka kuongopa sold out..ya nini watumie gharama kuzunguka kufanya kampen.. si wangeamua kusema match bure njooni na wangekuwa na uhakika uwanja ungejaa na hv hujui kuwa mpira ni biashara team zinatumia gharama kwekeza kwa ajili ya mapato kiduchu ya mashindano wapenzi wenyewe na mashabiki ndo hao wa kulipa ada ya uanachama shilingi 20,000 kwa mwaka ila anataka mchezaji wa bilion moja... inabid team ziingien gharama ili zifanye vizuri waweze kuvutia makampuni wapate sponsorship ..maana hata mashabiki sio watoaji wanachagua match za kwenda.. sasa kwa nini waongope, na infact wakiongopa maana yake wao wanapata hasara zaid..

,Swala la uuzwaji tiket ni lingine na swala la kujaa uwanja ni lingine.. kikubwa team imepata mapato.. basi kama shida ni uwanja kujaa tu kama shida yao ilikuwa uwanja kujaaa..

tuwe na mitazamo chanya tusiwe na mitazamo hasi ndio inaturudisha nyuma..

team zetu haziko huko ambako sie tupo.. Mpira Biashara ndo maana sasa hv unaona kila team inachofanya inajaribu kiwe ni kuingiza pesa..

Inapaswa tupigiane kelele sisi kwa sisi ikitokea team zitashindwa kuuza tiket zote.. tupeana moyo wa kusapoti.. team za ulaya hakuna match ndogo wala kubwa viwanja asilimia kubwa ya msimu wote ni full si kwa team kubwa wala ndogo hadi team inayoshika mkia utaona inajaza
 
Back
Top Bottom