mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Kwa kauli hizi basi , hata sisi tusema Luc Eymael kuwaita utopolo Manyani , mnaobweka kama mbwa ni sahihi?Makolo Wote ni mbumbumbu na mazuzu kasoro mmoja tu Rage,
Hizi kauli tata za viongozi wao sijui sold out, mara Simba ni klabu namba moja duniani kwa Fifa ranking, huwa mbumbumbu wakiziamini sana maana akili ya kuchambua vitu hawana!
Mashabiki kolowizard wote ni mazuzu kwa kwenda uwanjani huku timu yao ikicheza kama Abajalo au Faru Dume na ukweli kuwa haina kombe lolote msimu wa tatu huu!
Ngao ya jamii ni mbao sio kombe na waliipata kwa mchongo Ally Salim kuruka kabla ya penati za Yanga kupigwa!